Pages

Pages

Saturday, August 28, 2010

 CHAMA CHA TAEKWONDO TZ CHAPATA MWALIKO-DAKAR SENEGAL

  Chama cha Taekondo nchini Tanzania(AFTU) kimepata mwaliko nchini nsenegal kama ziara ya kujiandaa na na mashindano ya olympic yajayo ikiwa ni ni mchezo ulioingiwza kama michezo mingine.

  Akiongea na na waandishi leo katika mgahawa hadees Rais wa chama hiko ameomba msaada wa makapuni na mashirika kuchangia gharama za usafiri na maradhi kama msaada kwa timu hiyo ya watu 20 watakaokwenda Dakar Senegal


Versace - Loud and Proud Fashion

Milan – Versace showed a spring 2011 women's collection Friday, Sept. 24, doing what the brand is supposed to do - presenting loud and proud fashion.
Cut to the figure in a smart new mix of modernist mass-market colors and finished with lots of mini references to the house's iconic symbols, this was a sizzling collection that earned Donatella Versace her loudest applause in many seasons.
Staged in Versace's own theatre in south Milan, the show opened with lots of crisp white suits and cocktails, all edged with transparent strips, giving a cool geometric attitude. Gradually the designer injected more and more color, especially a semi-erratic vertical stripe print in cartoon shades of canary yellow, peppery red and faded blue.
Also adding to the sense of occasion was a remarkable remix soundtrack, with added deep pulses, of Malcolm McLaren's classic hip hop sampler of Bizet's Carmen. 

  SHOW YA MISS TRINITY MAISHA CLUB
   usiku wa ijumamaa miss Trinity akifanya mabo yake jukwaani

MARIDADI WOMEN SHOW IN ARUSHA
  Baadhi ya wanamitindo wakiwa wamevalia mavazi ya mbunifu  musafah hassanali
katika show niliyofanyika mjini Arusha usiku wa ijumaa.


HAYA NDIYO MAISHA YA KANUMBA KWA SASA
kanumba akiwa anatoka nyumbani kwake.
 kanumba akipata msosi wa mchana uwani kwake.(standby for uncle jj)

MUSTAFAH KUFANYA MAMBO NCHINI CAMEROON
Mustafah hassanali
Mwanzilishi na muandaaji wa jukwaa la wanawake wajasiriamali Tanzania (TWENDE ) na Jukwaa la kukuza vipaji vya wabunifu chipukizi Swahili Fashion Week, ambae pia ni mbunifu maarufu wa mavazi, Mustafa Hassanali amealikwa kuwa mgeni rasmi katika maonyesho ya mavazi yanayofanyika jijini Arusha kwa muda wa siku mbili tarehe 23 na 24 ya mwezi huu katika hoteli ya New Arusha.
Maonyesho hayo yameandaliwa na Maridadi. Maridadi ni kikundi kinachojumisha wanawake watatu kutoka mataifa tofauti ya Tanzania, Austarialia na Uholanzi ambao wanaishi nchini katika jiji la Aruha na kujishughulisha na masuala mbalimbali yanayohusiana na mendeleo ya mwanamke..
Akielezea lengo la kuandaa maonyesho hayo, mmoja wa wanawake hao, Lilian Bulengo
amesema kuwa “dhumuni kuu la kuandaa tukio hili linalojulikana kwa jina la “Maridadi Women Show” ni kuwakutanisha pamoja wanawake kutoka maeneo tofauti ya Arusha na Moshi katika Fashion Show, maonyesho ya biashara pamoja na kupata fursa ya kuzungumza mambo mbalimbali yanayowakabili wanawake katika maisha ya kila siku hapaTanzania ikiwemo suala la unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji, wanawake na kuondokana na utegemezi na masuala ya uchumi na biashara kwa ujumla”.
Mustafa Hassanali, pamoja na kuwa mgeni rasmi, pia ataonyesha mavazi ambayo kwa mara ya kwanza alionyesha nchini Cameroon mezi wa 2 mwaka huu katika show iliyojulikana kama PARFUM D’AMOUR, na mavazi yanayojulikana kwa jina la Karafuu collection aliyoyaonyesha julai 2010 Zanzibar.

WEEEND SHOUT OUT

 ******************************

Color conquers the Milan Fa.shion runway

 

MILAN – Italian designers are bursting out into color for the spring-summer 2011, relegating black to the bleachers where the fashion crowd sits in dreary unison.
After many seasons of basic black even for warm weather styles, the current fashion week of preview showings is alive with bright shades and bold prints. Many of the collections have a cheery floral inspiration.
"It's time to leave space for more personal things," Stefano Gabbana said ahead of the Dolce&Gabbana duos D&G show, dedicated to the multicolored world of the garden.
The colorful inspiration of the collections also speaks of a vacation mood, an escape from the humdrum city life and the gloom of an economic crisis, which hit the fashion world hard.
"Color cheers everybody up," said fashion expert and columnist Mary Lou Luther.


WASHINDI 9 TAYARI WAMESHAJINYAKULIA MILIONI 9 NA SUPA PESA!
Bahati naisbu ya SUPA pesa iliyozinduliwa mwanzoni wa wiki hii imepamba moto pale ambapo washindi 9
Wamejishindia Tsh. Milioni 1 kila mmoja. 
   Moja ya washindio waliobahatika kupata kitita cha supa pesa.

Kumbuka kila Ijumaa Supa pesa itakuwa na droo ya kumtafuta mshindi mmoja atakayejinyakulia shilingi milioni kumi kwa wale ambao watakuwa wametuma ujumbe zaidi ya mara nne kwa wiki
 Tuma neno SUPA  yaani “S” “U” “P” “A” kwenda namba 15777 sasa na wewe unaweza kuwa mshindi wa mamilioni kutoka SUPAPESA.
Kila ujumbe utatozwa shilingi 500 pamoja na VAT
Huduma inapatikana kwa wateja wa VODACOM, ZAIN, TIGO na ZANTEL
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 

MISS TRINITY ATUA BONGO


                    atua dar kwa mbwembwe

          

Milan fashion moves downtown

 

MILAN, Italy (AFP) – Milan fashion week, sandwiched between those of London and Paris, opens on Wednesday with catwalks in the centre of Italy's financial hub instead of out in the suburbs.
No fewer than 78 fashion houses will show their ready-to-wear collections for spring/summer 2011.
As the shows move downtown -- to the 16th-century Palazzo dei Giureconsulti and three other venues -- they will also be broadcast live on big screens at four locations in the northern industrial city.
The extravaganza that used to be held at an exhibition centre northwest of Milan will cover six days, contrasting with a frantic long weekend in February, when American Vogue editor Anna Wintour threw organisers into a tailspin by indicating that she could spare only three days for Milan.

London Fashion Week ends with new confidence

 

London Fashion Week drew to a close Tuesday after five days of shows that commentators said marked a new maturity for the event -- despite a few catwalk tumbles and the odd naked model. Three new designers were added to this season's official schedule and one hatmaker sent his models out nude, proving that London can still lay claim to being the adventurous younger sibling of the New York, Paris and Milan shows.
But the presence of global glamour house Burberry alongside veterans Paul Smith and Vivienne Westwood has raised London's game, and commentators have noted an increasing maturity here that demands to be taken seriously.
"I think it's very polished, London, it's very sophisticated. It's lost that feeling of craziness, but at the same time the actual designs are new," British Vogue editor Alexandra Shulman told AFP.

Designer Paul Smith goes for the masculine look

 LONDON – What should a woman do if she's going for the 'I-borrowed-it-from-my-boyfriend' look but doesn't actually have a boyfriend? Paul Smith has the answer.

The British designer showed off his 2011 spring-summer collection Monday, and except for a few stylish dresses the clothes could just as easily have suited the men in the audience. The designer told The Associated Press that his collection was based around the idea of "borrowing clothes from your brother or your boyfriend."

London Fashion Week

 
As LFW draws to a close, Burberry, Marios Schwab, Issa, Louise Goldin and Ashish are left to round up the proceedings. We're also looking forward to seeing the latest emerging talents at this season's Fashion East collective which takes place.

 GENEVIVA; MISS TZ 2010
          Geneviva Emmanuel Moja ya watazamaji wa uniqueentertz blog

 

 SILVIA SHARY NDANI YA TRAVOTA
                                                                       SIVIA SHARY


 SIKU YA 63 YA big brother ALL STARS
It’s day 63 on M-Net’s Big Brother All Stars --- and Jen is evicted from the Big Brother All Stars house in show featuring South African Hip Hop rapper JR. She now joins Lerato, Tatiana, Shiela, Code and Paloma in the Barn.
Stay tuned to M-Net’s BIG BROTHER ALL STARS with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic. For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured here: The Housemates


 fabak fashions presents...


BAHATI NA NASIBU YA KUSISIMUA SUPA PESA YAZINDULIWA RASMI NCHINI LEO
 
       Bahati na nsibu ya kipekee inayojulikana kama SUPA PESA inayowawezesha watumiaji wa simu za mkononi kujishindia mamilioni ya pesa kila siku,imezinduliwa leo katika hoteli ya sea cliff jijini Dar.
Mkurugenzi wa supa pesa Bwana Harm fourie alisema "SUPA PESA' ni bahati nasibu inayohusisha ujumbe mfupi wa simu ambayo itawawezesha wahusika kubahatika kushinda mamilioni ya pesa.
 
Mkurugenzi wa supa pesa Bwana Harm FOURIE akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya sea cliff leo jijini Dar. 

Kutakuwa na droo na zawadi za kila siku na ya kila wiki itakayomwezesha mteja kushinda zaidi ya milioni 25 kila wiki.


Moja ya waandishi wa habari kumi waliobahatika laki moja papohapo katika bahati nasibu iliyochezeshwa kwaajili ya ufunguzi wa mradi huo.
SUPA PESA inahusisha watumiaji wa mitandao ya vodacom,tigo,zain na zantel kwa gharana ya Tshs 500 tu kwa ujumbe mmoja wa simu ambapo mteja anatakiwa kuandika neno "SUPA PESA" KWENDA NAMBA  15777 hapohapo atapata ujumbe toka supa pesa,tuma ujumbe zaidi ya mitatu ili uingie katika droo ya kushinda milioni kumikatika wiki hiyo.

MAGESE WITHA NEW HAIR STYLE 



ALICE WITHHER FRIEND


Watizamajim wa uniqueentertz blog 

MAHARUSI Karibuni  ukumbi wa JET 1 ULIOPO GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
Kwa wale wote wanaojiuliza ni wanaweza kufanyia harusi sehemu ya kipekee kwa shughuli za mikutano,harusi na vikao,jibu nia hapa jet one.

welcome to Giraffe hotel.

MAUZO YA WEEKEND
Amisuu ni Moja ya warembo wanatoka vizuri kapicha.

Angel Model 

MZIGO WA JEFF UKO SOKONI
Pamba mpya aina ya Tshirt zenye maneno ya "i love my girl friends" na "at my age" zipo sokoni kwa mawasiliano piga simu namba 
+255756o44680, jifag2001@yahoo.com

JEFF akiwa na Miss TEMEKE namba 2,Britney urasa.
 
Tizama waschana warembo wanavyopendeza kwa pamba hizi


WAFANYAKAZI WA VODACOM KITENGO CHA MAUZO WAMPONGEZA LAURA KUTIMIZA MIAKA 26


Ilikuwa ni siku ya ijumaa jioni ambapombo wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi kitengo cha mauzo katika ofisi za victoria walifanya hafla ya kumpongeza mfanyazi mwenzao laura nyange kutimiza miaka 26.Huku Tshirt za 'i love my girlfrind zikiwaka ile mbaya,mzigo upo sokoni.


 
Wafanyakazi wa vodacom wakishangweka


Marafiki wa laura wakipozi kwa pamoja.


T-shirt za "i love my girlfriend" zilipendezesha hafla,ubunifu wa Jeff.
Laura akiwalisha keki rafiki anaofanya kazi nao.

Mablazamen wa voda nao walikuwepo wakiuza sura katika birthday.
Mambo ya tamthiria haya..!!.
.
HAYA..HAYAAA..hapa ni mapozi tu.!!
Hata pozi za hivi zilikuwa zihusika pia eneo la tukio.

Wazee wa dance hall walikuwepo.

Tuntutututu....Alaji...alaji...!!.


GLADS AJIACHIA NA MJOHANESBAGI
Moja ya weekend zilizopita dada yetu Glads alishindwa kuzuia hisia zake na kubonga mastori ya kina na muafrica kusini mmoja ajulikanaye kwa jina moja la Ayala katika fukwe za jagwani see breeze ambapo dada yetu hakuwa na pingamizi kivile zaidi ya kutoa majibu ya YES ! YES ! kwa ayala ambaye anataka kuwekeza katika sekta ya misitu nchini Tanzania.


KANUMBA,MAGESE WAMTEMBELEA MZEE KIPARA
Jioni ya jana kanumba na magese walimtembelea mzee kipala huko kagamboni jijini Dar es salaam kumjulia hali na kujua nini kinamsibu mzee wetu.

Kanumba na magese wakiongea na mzee kipara nyumbani kwake

Gafla watoto walianza kumzingira kanumba na kumuuliza maswali kama zile movie anazocheza ni maisha yake.

Watoto walizunga gari na tulichukua takribani dakika ishirini kuwaondoa watoto ili tuelekee kwenye mchakamwingine.

HUU UREMBO...!!


Macho na kidole ...wee mzungu..!!

KENNY AFICHUA UKWELI KUHUSU NASREEN NA MIRIAM

       Model Kenny ambaye alikuwa mr. Handsome namba tatu mwaka jana,kijana aliyeweka historia ya mapenzi kwa mamiss ametoboa ukweli kuhusu anavyolizika na penzi la Miriam Gerald.
   Kenny aliiambia  uniqueentertz blog kwamba kipindi wakati yuko na nasreen alikuwa hapati amani na kunyenyekewa kama afanyavyo Miriam kwa saSa ''kaka kiukweli nikwambie kipindi cha nasreen sikuwa na furaha sana kama kipindi hiki nipo na Miriam sababu nasreen wakati mwingine aliumiza sana moyo wangu kwa kujiskia kwake"alisema kenny.
Kenny amekuwa na furaha zaidi kwa Miriam kwani mrembo huyo hachagui sehemu ya kula akiwa na model huyo,watu wakuongea naye kitu ambacho Nasreen hakuweza kuongea na washikaji zake Kenny,wakati nyingine nasreen alikataa kwenda sehemu ambazo  kenny alipendelea kutembelea.


NEW YORK FASHION WEEK
Marc Jacobs took us back to the best parts of the Seventies yesterday with a bright, sunny collection that catered to the glam aesthetic of Studio 54 and the laid back luxe of Saint-Tropez. Halston of course also opted for the nostalgia same decade with slinky disco dolly numbers and flowing maxi dresses, while Tommy Hilfiger celebrated his 25-year-long career with his playful twist on neo-preppy. British talent William Tempest made his debut New York outing with a soft yet structured collection in a vibrant colour palette peppered with hues of raspberry and peach.

Model akionyesha mavazi katika New York fashion week



KANUMBA KUVUMBUA KIPAJICHA MAGESE KWENYE FILAMU YA UNCLE JJ
 
Kanumba na Magese Tukiwa location tukijiandaa na sini
Mdau wa mitindo na urembo mr. magse amepata shavu toka kwa swaiba wake wa siku nyingi The  Greatsteve  Kanumba ''moviez king' kwa kuahidi kufanya kila liwezekanalo kumfikisha swaiba 

wake magese katika anga za filamu kimataifa.
Ilikuwa ni asubuhi ya leo pale ambapo wakati nikiwa na Yusuph mlela kwenye gari  natoka Giraffe hotel kumchukua prisca mkonyi kambini mshiriki wa miss Tz
,katika  kuwasiliana na kupeana salamu za asubui na kanumba aliitaji magese kuwepo katika movie mpya'UNCLE JJ' inayotoka mwezi ujao.
'Kiukweli sijawai kufanya movie japo marafiki actors wa kunisaidia kutoka wapo,sikuwa na nia mpaka leo kanumba amefosi kufanya ivyo sikujua kama nna kipaji' alisema magese.
  Mbali ya kuonekana katika 'uncle jj' kuna movie kali kadhaa zinazokuja za kanumba tegemea kumnasa  mambo mapya toka kwa magese ambapo atakuwepo.
 
Wadau kwa mara ya kwanza kazi inachosha nilipitiwa na usingizi kiddogo.
 
Wadau listuka toka usingizini baada ya ngumi zilizochapwa na watoto wadogo waliokuwa wanagombea kumpa mkono steven kanumba.


mauzo ya leo
Nrembo akiuza sura mbele ya kamera yetu

TANZANIA INA INA VIPAJI VYA WAOGELEAJI WE  AHA TU...!!
Uncle Hashim akipumzika ndani ya maji baada ya kupiga mbizi kwa muda mrefu
 
Ankooo.....hekaheka mtoni...!!! 

SIKU YA VODACOM MISS TANZANIA AFTER PARTY YAFANYIKA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL

 warembo wakigonga cheerz..!!
 
Brand manager wa Redds Kabula akumkabidhi zawadi balozi wa Redds consolata lukosi 
 
Maboss zangu ,Bwana BRUNO na General manager Raul walikuepo kuwakilisha Giraffe ocean view hotel 
 
Mrembo akiwa katika pozi 
 
Alaji...alaji..!! ntutuntututu..alaj..alaj

Baucha,Geneviva na mlela nao walikuwepo pale giraffe hotel


GENEVIVA AWA VODACOM MISS TANZANIA 2010
             Mrembo Geneviva Emmanuel amefanikiwa kutwaa taji la vodacom miss Tanzania 2010 ambapo amewachua warermbo 29 katika mtanange huo uliofanyika jana pale mlimani city.
              Geneviva ambaye anashikilia mataji ya miss chang'ombe na miss Temeke kanda,usiku wa jana alikabidhiwa funguo ya gari aina ya hyundai i10 na kitita zaidi ya milioni 10.
Geneviva Emanuel akiwapungia mikono mashabiki baada ya kutangazwa mshindi

Geneviva akikabidhiwa funguo ya gari hyundai i10.
Warembo wakiwa na katika vazi la ufukweni

Beach wear
Prisca mkonyi (wa pili toka kushoto) moja ya warembo walipendeza sana kwa vazi lilibuniwa na mustafah hassanali lakini kiliniuma sana wadau kuona hata kumi bora prisca hakuingia daa!!..nimeumia sana wadau..

Mpambano ulikuwa mtamu namna hii kwani kila mshiriki alikuwa amejiandaa vyakutosha.
Hiin ndiyo kumi bora ya vodacom miss Tanzania 2010.

Hii ndiyo top 5 ya vodacom miss Tanzania 2010.

consolate lukosi ndiye balozi wa Redds 2010.


Models wa Tanzania wakiwa katika ushering siku ya vodaco miss Tz.


Prisca mkonyi(katikati) akiwa katika pozi.

Britney Urasa alipata nafasi ya kusomea urembo mwaka mmoja.
Brand manager wa kilaji la Redds  dada kabula akipozi kwa picha mbali ya hayo ni mtizamaji mkubwa wa uniqueentertz blog.
Frolah florence miss Talent 2010 akipungia watu baada ya kupewa taji hilo lilitolewa na mult-choice.

My friend Miriam Gerald akiwa anawapungia watu kwa huzuni kwani muda wa kustaafu ndiyo umewadia tena,pichani anaonekana katika kiti cha umalikia akisubiri sekunde avue crown kwa Geneviva.

Salma mwakalukwa(miss dar city center) ndiye mrembo alitwaa taji utalii.

Ogoth mwandaaji wa miss Tabata alibambwa akimbambia miss ilala namba mbili salma mwakalukwa.


Mrembo Prisca baada ya kutoka jukwaani akipiga picha ya mapozi kwa kamera ya yetu.
Wadogo zangu wa siku nyngi na wapinzani wa mwaka jana kuanzia miss dar city center,ilala na miss tz 2009. Glads shao na silvia shally wakiuza sur kwa pamoja.

Ay akirusha watu usiku wa jana.

WANYANGE WA VODACOM MISS TANZANIA 2010 AMBAO WANATARAJIWA KUPANDA JUKWAA MOJA KUWANIA GARI AINA YA HYUNDAI i10 NA MATAJI MENGINE(Balozi wa Redds,Utalii na kipaji)


THE MOST HANDSOME MAN IN TANZANIA YAJA..very soon..
Lile shindano la kumsaka kijana mtanashati linakuja hivi karibuni ambapo fomu za kujiunga kushiriki zinaanza kutoka jumatatu katika vituo vifuatavyo PHOTO POINT YA POSTA NA MY FEAR,ZIZZU FASHION,STEERS POSTA na sehemu zingine utatalifiwa .  Wasiliana na wahusika 0755259488 joseph,
0714796622
magese

 WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WAGAWA VYANDARUA
Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akimkabidhi Dr Elly Helela kati ya vyandarua 200 vilitolewa msaada katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe, katikati ni mabalozi wa kutokomeza malaria kupitia kampeni yake ya Zinduka ,Mwasiti Risasi na Diamond.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010,wakiwa wamewabeba watoto waliokuwepo katika Hospital ya Wilaya ya Kisarawe leo walipokwenda kwa ajili ya kutoa msaada wa vyandarua katika hospital hiyo.
Mlimbwende anaeshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania Gloria Mwanga akimkabidhi Ashura Amri chandarua kwa niaba ya mwanae Juma Mohamed aliyelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe.Msaada huo unaunga mkono harakati za kutokomeza malaria kupitia kampeni yake ya zinduka.

Na M

 WAREMBO WA VODACOM MISS TZ  2010 WAFANYIWA PRE-JUDGEMENT j4
  
Warembo wa wanaowania hyundai i10 ya Vodacom leo wanawapa kibarua kizito majaji katika ile inayodaiwa ni angalizo la awli la kuona ni nani anafa kuwa mrembo wa Taifa la Tanzania.
  Joto la kumpata mrembo huyo zinazidi kupanda huku baadhi ya warembo wakianza kutambiana na wengine kutoa shutma katika vyombo vya habari kuwa wanafunu kadhaa za kuwepo upendeleo.
  Warembo wanatakiwa kujiamini na kuchukuliaumiss ni ama mashindani ya sika haijalishi ulishindaje huko nyuma ..msiishi kwa historia jifunzeni kujiamini na kukidhi vigezo vyaukwa kinara

JEFF ATOKA NA T-SHIRT MPYA
 
Jeff akiwa na miss dodoma
Mdau wa mambo haya THE JEFF ametoa pamba mpya zenye ukali wa aina yake,wadau wahini maana mzigo ndo huo tena na uko mchache
WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA 2010

Prisca mkonyi - kilimanjaro
 
Frola - higher learning
 
Alice-kinondoni
 
Miss lindi
 
Glory mwanga-kanda yabkaskazini
 
miss Tanga
 
Rechel-winer of higher lea
 
Miss dodoma-premsigh


Furaha
 
Geneviva
 
Buduli
 
Mrembo
 
salma

FABAK FASHION YASHUSHA MZIGO WA SIKUKUU YA IDD 
 
   Duka maaufu jijini Dar kwa kuuza nguo za kisasa na zenye ubora wa kimataifa limeshusha nguo kali na mpya katika duka lake lililopo mikocheni kwa nyerere karibu na kituo cha mafuta cha BP.

  Akizungumza na uniqueentertz blog baada ya kumtembelea hapon dukani kwake Asia Idorus ambaye ni mbunifu maarufu na mkongwe katika anga za fashiion "nimeleta nguo za kisasa kwaajili ya sikukuu ya Idd kwaaili ya akina mama,watoto na warembo,night wear,beach wear,casual wear,viatu,pensi,cheni,miwani,heleni,pochi za kisasa na vingine vingi tu"alisisitiza asia.

 
FABAK FASHION FOR IDD

MIRIAM GERALD ANUNA KUALIZQ MUDA WAKE
 
 Katika hali isiyo ya kawaida mrembo Miriam Gereald alinuna baada ya ya kumuuliz"je unajiskiaje kufika  ukingoni  shemeji?" licha ya kuwa mtu wa karibu na blog hii  miriam alikunja dura na  nikizani amekasirika kuitwa shemeji  kumbe.. mara gafla akanijibu  "wee magese unadfhani  nsafurai  kuniuliza  kuuacha umalikia wangu  napenda ila muda ndo  umewadia  wakati mwingine huwa  natani kupumzika lakini ...title itapungua  bana....niache..." alimalizia miriam.

look nice 

Prisca Mkonyi mshiki wa Vodacom miss Tanzania 2010

HAPPYWITNEY AJIWEKA KWA PATRIC MODEL
 
    Model wa dolywoo  ameoneka akispend na Happywitney ambaye ni model na aliwahi kuwa mshiriki wa miss kinondoni 2010 ia hakufanikiwa kuendelea mbele na mashindano.
  hii ni mja usiku wa kumtafuta balozi wa Redds PATRICK alionekana kakaba kivuli huku mahug ya hapa na pale yakiendelea bila woga na shanwe kadhaa ziliendelea baadae kati yao

 MONDAY...SHOUTOUT..!!!!
 
Am Dr.Shaa from miss Tanzania commitee am vititng uniquentertz blog every day and i like it 
 
Sisi ni wadau wa urembo na mitindo hapa tz kwa pamoja tunaipenda na kuiangalia uniqueentertz blog 
 
Jamani naitwa Clara mwandishi wa habari za michezo,mitindo na urembo napenda kutzama uniqueentertz blog 
 
Miriam Gerald and Glads Shao macho kwenye uniqueentertz blog 

SIKU YA MICHEZO KWA WAREMBO WA VODASCOM MISS TZ - JANGWANI SEE BREEZE
              warembo waidondoka baada ya upande mmoja kuzidiwa ilikuwa ni shivacom na m-pesa

Mpambano uliendelea kati ya shivacom na M- pesa matokeo shivacom waliibuka kidedea,anko makoye alikuwa referee ambapo muda mwingine alipendelea upande mmoja.

                                flora miss toka kanda ya kati alionesha kipaji kwa kupiga danadana zaidi ya 50 na kupiga chenga wenzie kama drogba.
         warembo walimenyuka vyakutosha katika hotel ya jagwani see breeze.
   ulifikka wakati wa kupiga mbizi warembo waliinjoi kwenye sweeming pool ni mikachu tu
                         Hamisuu toka miss Kinondoni namba tatu akiwa katika swimming pool
                                                      
                                      warembo wakijiandaa kukata maji


WAREMBO WA MISS TZ WALIONA GARI
                                    Britney urasa mrembo wa kwanza kuendesha gari katika majaribio katika hoteli ya Giraffe 
Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akitangaza rasmi zawadi za zitakazotolewa kwa washindi katika shindano la Vodacom Miss Tanzania litakalofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam septemba 11 jumamosi. Akizungumzia zawadi hizo amesema jumla ya shilingi milioni 46.6 na gari aina ya Hyundai i10 lenye thamani ya shilingi milioni 12, Amesema mrembo huyo pia atajipatia shilingi milioni 10 fedha taslimu pamoja na kujishindia zawadi ya gari. Mshindi wa pili atajipatia shinilingi milioni 6.2 wakati mshindi wa tatu atajipatia shilingi milioni 4, mshindi wa tatu atajipatia shilingi milioni 3, mshindi wa nne atapata shilingi milioni 2.4 na wa tano atapata shilingi milioni 1.4 huku washiriki wengine wakipata kifuta jasho cha shilingi laki 700.000     

 PICHA ZA TUKIO LA REDDS FASHUION AMBASSADOR 2010 iliyofanyika mbalamwezi beach weekend hii
                                           
   Kindi la washiriki wa miss temeke likiongozwa na Geneviva
   Walimbwende wakionesha makali yao jukwaani
Mrembo prisca mkonyi akionyesha vazi la ofisini ndiye mlimbwende aliengoza kwa kutembea caltwalk nzuri
         Mrembo wa vodacom miss Tanzania akionyesha mavazi
            
          Ubunifu wa Asia idulus ulifana sana katika siku hiyo 

   Ama kweli totozi za miss Tanzania zinabamba katika ulimwengu wa mitindo
    Ubunifu wa Ali Lemtulah ulionesha tofauti ya kubuni na wabunifu
                    Wabunifu maarufu hapa Tanzania ambao ni wapenzi wakubwa wa uniqueentertz blog walikuepo Asia,Farha,molel na zamda.
  Vijana wa ustafah asanali ambao ni wabunifu wanaotokea mkono wake nao walikuepo katika Redds fashion Ambassador 2010
           Model Zahra na rafikize walikuepo ambao wote ni watizamaji wa uniqueentertz blog
           Victoria Martine mrembo anayeshikiria taji la Redds fashion Ambassador 2009 ambae ni mtizamaji mkubwa wa uniqueentertz blog akipozi kwa camera yetu.
                                 
 My AfrIcaN queen...neva seen b4...Jokate mwongelo alikuwa mc na ni mpenzi wakuangalia uniqueentertz blog ...she like my blog ...
         
Binti wa sumari.Nancy alikuepo katika usiku huo.
           Mbunifu Kemy kalikawe akipozi katika ubao wa Redds nae alikuepo

Mwana bongo flava Diamond akiwa na model mkongwe Eddyville.stay tuned ntakufahamisha nini kilichomleta Diamond usiku wa REDDS beach party ni bomge la skendo

Ali model moja ya mashabiki wa uniqueentertz wanaonikubali kimyakimya alikuepo akirekodi kupindi cha Daxx.
YALIYOJILI BACKSTAGE


Baada ya warembo kungoja foleni ya kupambwa walianza kujihudumia wenyewe kusovu mda

Miss Temeke namba33 akijidabika lipshine

Genevuva aliamua kutembea na make kila mahali


    Glory nae alikuwa kachamka vilevilevile
               furaha misss rukwa akipozi kwaali ya camera ya uniqueentertz blo

                           hamisuu mtoto wa kinondoni
GIFT GARANG
 Gift garang from sudan one of my beautiful viewer,she like the way am doing my thing


WAREMBO MISS TANZANIA WAPEWA NASAA NA MKURUGENZI MAENDELEO WIZARA YA HABARI

Mkurugenzi wa Maendeleo wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo nchini Hermas MwasoKo akiwapa hamasa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania katika Hoteli ya Giraffe ambapo viongozi wa Wizara hiyo walitembelea kambi ya Miss Tanzania kwa nia ya kujionea na kutoa ushauri kwa warembo hao.(kulia) Mkurugenzi Msaidizi anayesaidia Sanaa katika Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Anna Ngoi,(kushoto) Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Hashimu Lundenga.
Mkurugenzi Msaidizi anaye saidia Sanaa Anna Ngoi (kulia) akisalimiana na baadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania Septemba 11 mwaka huu, baada ya kumalizika kwa kuwapa ushauri katika mkutano uliofanyika katika Hoteli ya GIRAFFE OCEN VIEW
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari utamaduni na Michezo Hermas Mwasoko. wakati alipowatembelea kambini kwao katika Hoteli ya GIRAFFE OCEAN VIEW.
Walimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2010wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari utamaduni na Michezo Hermas Mwasoko. wakati alipowatembelea kambini kwao katika Hoteli ya GIRAFFE OCEAN VIEW

KELVIN AFANYA KWELI KWA ELIZABETH

Ilikuwa ni kama utani katika nyumba ya Big Brother katika shindano lilopita kwa kijana Kelvin kumsalandia dada yetu Elizabeth Gupta lakini siku zote waswahili wanasema hatafutae huwa achoki na akichoka ujue kapata.Ndani kabisa ya ukumbi wa comedy club port Harcout Kelvin chuwang na Elizabeth walipopanda kwa pamoja kuimba wimbo wa kelvin "una pata mambo" baada ya kumaliza kuimba ndipo kelvin akapiga magoti na akatoa pete na kumwambia Lizzy "Elizabeth will you marry me"basi tena dada yetu hakuwa na neno tena.

BRINEY URASA;MSHIRIKI WA VODACOM MISS TZ 2010

                                                           

Britney ni jina alilobalikiwa na mzazi wake mr. Urasa,ni mtoto wa kipekee katika familia yao hapo mbezi beach,alisoma shule ya msingi nchini  zimbabwe,sekondari akasoma shule ya neema Trust sec,high school alisoma rose marie kibaha.

Britney ana umri wa miaka 20 na tumaini lake katika maisha ya baadae ni kumiliki kituo cha habari na kuwa role model katika jamii.Kwa sasa ni mshiriki wa vodacom miss Tanzania 2010.

mambo anayopendelea ni kucheza tenis,hockey,car racing na kusafiri,britney alishika nafasi ya pili katika katika mashindano ya miss chang"ombe 2010 na nafasi ya pili miss Temeke 2010.

Mtu aliemvuta sana britney kuingia katika medani ya urembo ni jokate "i love her so much and i wish to be like jokate' alimalizia britney


 WAREMBO WA MISS TANZANI WATEMBELEA TB

                                              






































Meneja wa kilaji cha Redd's Premium cold,Kabula Nshimo akiongea na waandishi wa habari waliofika leo katika kampuni ya kutengeneza bia Tanzania (TBL) sambamba na warembo washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2010 walipotembele kiwanda hicho leo.






















Afisa usalama wa TBL,Ismail Kalema (pili kulia) akiwaelekeza Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakati wa mafunzo ya uzimaji moto waliyokuwa wakiyapata leo katika kampuni ya bia Tanzania,TBL.





















Wanyange wa vodacom miss Tz 2010 wakisoma maelezo yaliyoandikwa kwenye mitungi jinsi  ya kutumia na kuzimia moto.





















warembo wakiweka tayari kwa jaribio la kuzima moto





















Baadhi ya Warembo wa Vodacom Miss Tanzania,wakipata maelezo ya namna ya utengenezaji wa bia zinazozalishwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kutoka kwa afisa wa TBL,Tumaini Moses





















Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakijabu kuvaa miwani ya kiusalama kabla ya kuanza kutembelea kiwanda cha bia Tanzania,TBL





















Walimbwende wakiingia ndani ya kiwanda





















Warembo wa vodaco miss Tz wakiwa katika picha ya pamoja.

WALIMBWENDE VODACOM MISS TZ WAELEZWA FAIDA  ZA BIDHAA  NA HUDUMA ZA VODACOM!!

Afisa Bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi akiweka sawa picha kwenye Projekta wakati alipokuwa akiwasilisha mada kwa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania juu ya umuhimu wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na kutolewa na kampuni ya Vodacom katika semina ambayo imefanyika kwenye kambi ya warembo hao Hoteli ya Giraffe Ocen View Mbezi Beach jijini Dar es salaam leo.
Meneja Mauzo wa M-PESA Jerome Munishi akitoa ufafanuzi juu ya huduma za hizo zinazotolewa na kampuni ya Vadacom Tanzania wakati wa semina ya warembo wanaoshiriki kwenye shindano la Vodacom Miss Tanzania katika Hoteli ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach leo hii shindano hilo linatarajiwa kufanyika Septemba 11 mwaka huu. 


MASHINDANO YA MISS TANZANIA KUUTAMGAZA UTAMADUNI WA MTANZANIA
.
 
Mashindano ya kumsaka kimwana mlimbwende wa taifa la Tanzania ambae atenda kuiwakilisha nchi katka mashindano ya dunia,yamekuwa kioo cha kuutangaza utamaduni wa mtanzania,utalii na maliasili za nchi yetu.
             Imekuwa faraja pale warembo wa shindano hili kuenzi utamaduni wetu kuanzia mavazi na hali halisi ya mtanzania ikiwa ni pamoja kutoa msaada wa vitu muhimukwa jamii mfano warembo walivyoweza kutoa vyandarua vya kuzuia mbu waenezao malaria katika mikoa ya kanda ya kaskazini katika hospitali kadhaa.

DESIGNERS VISITING THE TEXTILE SECTOR DEVELOPMENT UNIT"S 
Designers being shown the Modern industral Patern cutter BY PRODUCTION MANAGER PATRRICK LUMUMBA.
Designers Kemi Kalikawe , Manju Msitta and Ailinda Sawe seeing how a machine operates.
Designer listening to Patrick Lumumba of the Production Facility they Visited on 30 September 2010.
Designers attending to how the pattern drafting works
 

Wabunifu waliofika katika mafunzo ya Swahili Fashion week wakisikiliza kwa makini pindi mafunzo hayo yalipokuwa yakitolewa.

Wabunifu wa mavazi 12 wanapata mafunzo yaliyoandaliwa na Swahili Fashion Week kwa kushirikiana na Tanzania Cotton Board (TCB) na Textile Sector Development Unit (TSDU) yenye lengo la kuboresha taaluma ya ubunifu wa mavazi hapa nchini.

“kwa siku ya kwanza tu nimejifunza mengi, natarajia kupata mengi zaidi katika masula mazima ya kuboresha kazi yangu na jinsi ya kutafuta masoko ya ndani na nje”. Alisema Salim Ally mbunifu wa mavazi anayechipikia katika fani hasa kwa upande wa mavazi ya vijana katika mtindo unaojulikana kama la Mtoko wear.

Miongoni mwa wabunifu waliopata nafasi ya kushiriki mafunzo hayo ni pamoja na Kemi Kalikawe, Margherita Marvassi kutoka Zanzibar , Jamila Vera Swai, Zamda George, Francisca Shirima, Farha Sultan, Ailinda Sawe, Manju Msita, Salim Ally, Kim Dean, Rabi Morro na Angelo Elly Mlaki.

“Tunaamini kwamba mafunzo haya yatawawezesha wabunifu wa watanzania kuweweza kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu ambazo zitaweza kuuzwa sehemu yoyote. Pia kupitia mafunzo haya tunaamini kwamba wabunifu watapata habari muhimu zitakazowawezesha kuchangia moja kwa moja ukuaji wa sekta ya ubunifu Tanzania”. Alisema Mustafa Hassanali muaandaji wa Swahili Fashion Week.

Mafunzo hayo ya siku nne yanaendeshwa na Claire Hamer-Stubbs ambae anatoka katika kampuni ya Ei8ht (www.ei8ht.org), kundi ambalo limekuwa likifanya kazi zake nchini Uingereza, na yanafanyika katika hoteli ya New Africa.

Textile Sector Development Unit (TSDU) kwa sasa inashirikiana na Swahili Fashion Week katika programu ya kuwasaidia wabunifu wa Tanzania kwa kutoa mafunzo ya awali , TSDU inaamini kwamba kwa kutoa fursa ya mafunzo kwa wabunifu ambayo yatawawezesha kutambua mpangilio mzima wa kufanya kazi zao kwa ubora zaidi. Pia inaamini kwamba kupitia semina hii wabunifu watajipatia uelewa mpana wa kufanya kazi na wanunuzi wa rejareja kutoka Uingereza ambao huenda wakavutiwa na bidhaa zinazozalishwa na wabunifu wa Tanzania.

KUHUSU SWAHILI FASHION WEEK

Swahili Fashion Week ni jukwaa pekee linalowaleta pamoja wabunifu wa mavazi na watengenezaji wa bidhaa za mapambo kutoka nchi zote zinazozungumza lugha ya Kiswahili, ili kuonyesha ubunifu wao, kuuza bidhaa wanazozalisha, kubuni ajira, sambamba na kutengeneza mtandao kwa wabunifu kutoka maoneo hayo wanayoongea lugha ya Kiswahili, sambamba na kuhimiza dhana nzima ya kuthamini bidhaa zinazotengenezwa Afrika Mshariki.

Swahili fashion week in tukio ambalo linawajumuisha wabunifu wakongwe na wale wanaochipukia kuonyesha kazi zao, pia kutoa nafasi kwa wapenzi wote wa sanaa ya mavazi kujumuika pamoja na kufurahia bunifu wa watanzani na kutoka nchi za jirani.

Msisitizo zaidi umewekwa katika kuhakikisha kwamba sekta ya ubunifu inakuwa kikanda. Swahili Fashion Week inalenga kukuza sanaa ya ubunifu na kuwa jukwaa bora la kibiashara kimataifa kwa nchi za Afrika Mahariki.

Kwa mara ya tatu sasa Swahili Fashion Week imekuwa ikifanyika, ambapo kwa mwaka huu itafanyika kuanzia tarehe 4 mpaka 6 November 2010, Dar Es Salaam, Tanzania.

KUHUSU UKUAJI WA VIWANDA (TSDU)

The Tanzania Cotton Board’s (TCB) na Textile Sector Development Unit’s (TSDU) zimekua zikisaidia kukuza seka ya viwanda Tanzania. Lengo kuu ni kubuni hali bora na kuhakikisha kukua viwanda vinavyozalisha nguo Tanzania, sambamba na kuhakikisha thamani ya Pamba Tanzania inakua, hali itakayochangia kupatikana kwa nafasi za ajira na kuwepo kwa hali bora kwa nchi ya Tanzania.

KUHUSU TANZANIA GATSBY TRUST (TGT)

The Tanzania Gatsby Trust (TGT - www.gatsby.or.tz) imeanzisha program maalumu ya kusaidia serikali ya Tanzania katika kuhakikisha maendeleo ya viwanda vinavozalisha nguo . miongoni mwa program zake nyingi pia ni kusaidia kukuza hali ya wabunifu wa Tanzania. TGT inaamini kuwa kuimarika kwa sekta ya ubunifu kutachangia kuongezeka kwa ajira Tanzania. Kwa kushirikian ana VETA TGT imeanzisha mafunzo ya wabunifu wa maonyesho katika vituo vyake vya mafunzo vilivyopo Dar es salaam. Pia TGT imeamua kufanya kazi na Swahili Fashion Week kwa lengo kukuza hali ya ubunifu wa mavazi Tanzania.

REDDS BEACH PARTY

NI REDDS KATIKA HARAKATI YA KUMSAKA BALOZI WAO KUTOKA KATIKA                  KINYANG'ANYIRO CHA MISS TANZANIA 2010.....ungana nao katika kumsaka Balozi

KING KIF AJIANIKA NA TOTOZI..!! 
king kif moja ya mabloga maarufu hapa nchini akiwa na totozi weeked hii. 

PARENTS DAY YA WAREMBO WA MISS TZ 2010 KATIKA PICHA
Baadhi ya wadogo za warembo wa miss Tanzania walipata fulsa ya kuogelea katika bwawa la kuogelea katika hoteli ya Giraffe ocean viiku ya parents day baada ya kuwasili toka mkoani Tanga.
Mrembo toka kanda ya kati  frolah akiwa amesimama mbele ya sehemu ya kupatia maakuli Giraffe hotel.
Moja ya washiriki wa vodacom miss Tz 2010 akiweka pozi kwa kamera ya uniqueentertz blog.
Moja ya vijana wangu maarufu hapa Tz waliowahi kutoka kupia mikono yangu katika gemu la mitindo,kane kenedy alikuepo kuwakilisha yaliyo yake.
Miss ruvuma furaha,akiongea na nduguze siku ya parents day jana jioni .
Mrembo msomi toka vyuo vikuu akipozi kwa picha.
Miss Tmk namba tatu nakipozi kwa camera ya uniqueentertz blog katika receiption ya giraffe hotel.
Mrembo hamisuu miss kinondoni namba tatu moja ya warembo wanaopendeza katika picha.
Britney urasa miss tmk namba 2,ni moja ya warembo wanaovutia sana katika picha.
Miss Ilala namba 2 mtoto wa mwakalukwa akila pop cone jana katika hoteli ya giraffe siku ya parents day.
Glads shao miss Ilala namba 2 (2009)&matron wa miss Tz 2010 ni moja ya mashabiki wakubwa wa uniqueentertz blog akipozi kwaajili ya picha siku ya parents day giraffe hotel


KUWASILI KWA WAREMBO WA VODACOM MISS TZ 
Baadhi ya warembo wakiwasili tokea mkoni Tanga kwenye ziara ya kutangaza utalii wa taifa.

  PARENTS DAY WA WAREMBO VODACOM MISS TZ 2010 LEO  aug 29  GIRAFFE HOTEL
Baadhi ya warembo wa Vodacom miss Tanzania 2010 wapiga picha ya pamoja kwa kamera ya uniqueentertz blog katika hoteli ya Giraffe ocean view jijini Dar
 
Leo ni siku ya warembo wa vodacom miss Tz 2010 kukutana na wazazi,walezi na wapendwa wao kwa kutembelewa na kupewa zawadi na matumaini angali wakiwa kambini.
Warembo hao ambao mchana huu wako njiani wakitokea Tanga na mida ya mchana mrefu watakuwa wamewasili jijini Dar es salaam kambini kwao palepale Giraffe ocean view hotel kumalizia ungwe ya Dar.
Warembo hao siku ya jana walitembelea mapango ya amboni yenye michoro ya kale kihistoria iiyopo mkoani Tanga ambapo walifikia hoteli ya Tanga beach resort.

MAMBO YA HELLEN DAUSEN HUKO MAJUU
Mrembo wa Tanzania Hellen dausen katika miss Universe 2010

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WATEMBELEA MKOA WA TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Said Kalembo (katikati) akizungumza na warembo wa .Vodacom Miss Tanzania 2010 ofisini kwake jana jijini Tanga. Kushoto ni Mkurugenzi wa lino International Agency Waandaaji wa shindano hilo Hashim Lundenga na Kulia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa 'Mshua'. Walimbwende wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga.

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipiga picha na watoto waliotembelea mapango ya Amboni mjini Tanga jana ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wakionekana miguu tu ndani ya Mapango ya Amboni
Warembo wakitembea ndani ya Mapango ya Ambani mjini Tanga jana kujionea Mapango hayo ya asili ya kale ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha Utalii wa ndani nchini.
Wanyange wakipita ndani ya mapango hayo ya Amboni..
mwakilishi wa Jiji la Tanga aliamua kupozi katika sehemu ambayo wanaisema inafanana na kiti.
ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010, wakisikiliza maelezo ya historia ya Mapango ya Amboni Mkoani Tanga jana wakati warembo hao walipotembelea eneo hilo ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010, wakisikiliza maelezo ya historia ya Mapango ya Amboni Mkoani Tanga jana wakati warembo hao walipotembelea eneo hilo ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

 


MIRIAM GERALD APONGEZWA NA REDDS SIKU YA BIRTHDASY YAKE 

Meneja wa Kinywaji cha Redds Primaim Cold, Kabula Nshimo (kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald keki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha.
Miriam gerald miss Tz anaemaliza muda wake akikata keki ya sikukuu yake ya kuzaliwa huku akiwa amezunguwa na baadhi ya warembo wanaotarajia kuwania taji hilo mwaka huu.
Meneja wa kinywaji cha Redds Primaim Cold, Kabula Nshimo akimlisha keki Miss Tanzania anaemaliza muda wake katika sherehe ya kuzaliwa kwa mrembo huyo iliyofanyika katika ukumbi wa Maasai club mjini Arusha.
Miriam Gerald akiwalisha keki baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 katika hafla iliyoandalia na Kinywaji cha Redds na kuanyika katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha.
Meneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis (kulia) na Meneja wa Bia yaCol Redds Primim Cold, Kabula Nshimo (kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald keki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha.


WEEKED SHOUT OUT...!!2010...napenda kutizama uniqueentertz blog kila siku

    MADAWA YA KULEVYA YAMFIKISHA PABAYA PARIS HILTON                          
LAS VEGAS – Police say Paris Hilton has been released from jail after being arrested on cocaine possession charges in Las Vegas.
Police spokesman Marcus Martin says the socialite was arrested after police stopped the car she was in late Friday night on a Las Vegas street after they noticed what they suspected to be marijuana smoke coming from it.
Martin says Hilton was found to be in the posession of cocaine, but he didn't know how much.
She was booked into the Clark County Detention Center.
Police watch commander Lt. Wayne Holman said Hilton was released later on her own recognizance. He didn't have any details about a court date on the charge.


            WASHIRIKI WA VODACOM MISS TANZANIA WAONDOKA LEO ARUSHA KUELEKEA TANGA.

                  Jumla ya warembo 30 na baadhi ya wanakati ya miss Tanzania wakiwemo matron na mrembo anayekaribia ukingoni miriam gerald wameeondoka leo asubuhi mjini Arusha na kuelekea mkoani Tanga.

                Baadh ya warembo wa vodacom miss Tanzania 2010

Nia halisi ya kutembelea mkoani humo ni warembo kujionea sehemu za kihistoria katika mapango ya amboni yaliyopo mkoani tanga ikiwa ni sehemu ya kutangaza utalii na maliasi za nchi ya Tanzania.

                  Usiku wa kuamkia jana warembo hao walifanyiwa hafla fupi ya kuwaburudisha pamoja na wadau kadhaa mjini Arusha.

            WEEKEND SHOUT OUT  !!

Habari watanzania naitwa Charles Bekon mkurugenzi wa Giraffe ocean view hotel..napenda kutzama blog ya mdogo wangu magese,..uniqueentertz blog.

 Ladys and gents my name is geneviva contestant of  Vodacom miss Tz 2010...i like uniqueentertz blog .

      Hi naitwa britney urasa mshiriki wa vodacom miss Tanzania 2010  napenda kuangalia uniqueentertz blog 

                      naitwa Betrice premsingh miss dodoma 2010 naipenda blog ya uniqueentertz                                                        

                                            

KARIBU:hii ni blog ya kipekee tunazungumzia urembo na mitindo nchini Tanzania.............!,

                                        

               Tujikumbushe wadau.............!!

Mmoja wa washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009, Beatrice Lukindo (mbele) pamoja na washiriki wengine wakichukua chakula katika siku ya michezo ya warembo hao katika kisiwa cha Mbudja, Dar es Salaam.


MARUFUKU WASANII WASIOSAJILIWA KUSHIRIKI SANAA NCHINI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

USHIRIKI WA WASANII WASIOSAJILIWA KWENYE TUNZO NA MATUKIO YA SANAA NCHINI

Baada ya BASATA kusimamia na kuratibu uanzishwaji wa Mashirikisho manne ya Sanaa nchini ambayo ni Shirikisho la Sanaa Jongevu (Filamu), Shirikisho la Muziki Tanzania, Shirikisho la Sanaa za Maonyesho na Shirikisho la Sanaa za Ufundi kwa lengo la kuvipa nguvu vyama vya wasanii na kuvipa umoja kitaifa,Baraza linapeleka nguvu kwenye urasimishaji wa sekta ya sanaa ikiwa ni pamoja na wadau wote wanaojihusisha na sekta hiyo hususan wasanii.

Kwa mujibu wa Sheria na. 23 ya Bunge ya mwaka 1984, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepewa jukumu la kutambua na kusajili wadau wa Sanaa, kumbi zote za burudani Tanzania Bara na wasanii wote ikiwa ni pamoja na kutoa vibali vya kufanya shughuli za Sanaa.

Lengo ni kuzifanya shughuli za sanaa kufanyika katika mazingira rasmi na ya kufuata sheria za nchi pia kuwatambua wasanii wote nchini kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi yetu.Ikumbukwe kwamba, kufanya shughuli za sanaa bila kusajiliwa na kupewa kibali na BASATA ni kuvunja sheria za nchi na hivyo kustahili adhabu.

Faida za kurasimisha sekta ya sanaa hususan kwa wasanii

1. Kuendesha shughuli za sanaa kwa mujibu wa Sheria za nchi ili kuepuka usumbufu.

2. Kutambulika kwa shughuli ya msanii binafsi, kikundi, Chama nk. hivyo kufanya kazi kihalali.

3
. BASATA kama shahidi wa Jamhuri hutoa utambulisho/uthibitisho kwa msanii, kikundi au chama halali mahali popote panapohitajika kwa mfano wakati wa kufungua akaunti benki, kupata VISA, pasi ya kusafiria, mikopo kwenye asasi za fedha, msaada au ushahidi mahakamani.

4. Ikihitajika kuweka ulinzi wa kisheria wa kazi za sanaa,kwa mfano wa Hakimiliki na Hakishiriki.

5. Kuingilia kati pale makubaliano/mikataba ya msanii, kikundi, chama nk. inapokiukwa na kuripotiwa katika Baraza.

6. Kushauri na kutoa mafunzo ya sanaa.

7. Kutafutiwa masoko na/au kuunganishwa na masoko, wasanii na fursa mbalimbali zinapojitokeza.

BASATA linawaagiza waandaaji wa matukio ya sanaa nchini (Tunzo za Sanaa/matamasha/maonyesho) kuhakikisha wanafanya kazi na wasanii waliosajiliwa tu na inapotokea kufanya vinginevyo basi muandaaji wa tukio husika na msanii atawajibika moja kwa moja.

BASATA linatoa hadi tarehe 31 Oktoba, 2010 kwa wasanii na wadau wote nchini kujisajili vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwazuia wasanii pia wadau wasiosajiliwa kushiriki tunzo/matamasha/Matukio ya Sanaa.

Ghonche Materego

KATIBU MTENDAJI, BASATA.