Catherine Masumbigana (katikati) akiwa ndiye mshindi wa shindano bora la wanamitindo nchini Tanzania,Unique model 2012 huku mshindi wa photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na mshindi wa kipaji (kulia) Vestina Jax.
Pages
▼
Pages
▼
Monday, December 31, 2012
Sunday, December 30, 2012
UNIQUE MODEL 2012 MOTO WA KUOTEA MBALI
Unique model 2012 moja ya event kubwa za mitindo nchini Tanzania,hapa mwanamitindo Zeenath akionyesha uwezo wa miondoko ya kimaonyesho ya nguo.
Unique models wakionyesha uwezo wa kudansi jukwaani.
Mambo yalikuwa hivi wadau.
Majaji wakifanya yao.
Mshindi namba tatu Amina Ayoub akiwapungia watu mkono baada ya ktangazwa.
Hali ilikuwa namna hii wadau.
Majaji wakitangaza matokeo.
Elizabeth Pertty Unique model-Talent 2012 akipungia watu baada ya kutangazwa.
Mwanamitindo akionyesha kipaji cha kuigiza kwa kutoa ujumbe kuhusiana na gonjwa la ukimwi.
Unique model of the year 2012 Catherine Masumbigama akipungia mkono mashabiki baada ya kutangzwa kuwa ndiye mwanmitindo wa mwaka 2012-2013.
Catherine akiwa na Balozi wa shindano la unique model Roseminner.
Grand finale.
Vestina Jax Unique model-Talent akifanya yake jukwaani.
Top five ni Zeeenath Ayoub,Cecilia Emmanuel,Elizabeth Pertty,Catherine Masumbigana na Amina Ayoub.

Saturday, December 29, 2012
CATHERINE MASUMBIGANA ATWAA TAJI LA UNIQUE MODEL OF THE YEAR 2012
Mwanamitindo namba kumi na mbili kiunoni Catherine Masumbigana ameibuka mshindi wa shindano la Unique model 2012 akifatiwa na Cecilia Emanuel huku nafasi ya tatu ikiend kwa Amina Ayoub.
Mwanamitindo Mwajabu Juma akimvisha taji mshindi wa Unique model- photogenic Elizabeth Pertty baada ya kutangazwa.
Red carpet yetu ilikuwa hivi.
Balozi wa shindano la Unique model Roseminner akimvisha taji mshindi Catherine Masumbigana baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo kwa mwaka 2012.

Friday, December 28, 2012
LEO NDIYO LEO NANI KUIBUKA UNIQUE MODEL OF THE YEAR 2012
Ile siku
iliyosubiriwa na watanzania wengi kutaka kujua nani ataibuka mshindi wa
shindano la kumsaka mwanamitindo wa mwaka mwenye sifa za pekee nchini Tanzania
imewadia
Homa ya
shindano imezidi kupanda ikiwa usiku wa leo atajulikana nani atavishwa taji la unque
model of the year 2012 taji lenye heshima katika tasnia ya mitindo nchini
Tanzania.
Jumla ya
washiriki kumi na mbili wanapanda kujwaani kuwania taji hilo ikiwa fainali zake
zitafanyika katika ukumbi wa maraha New Maisha club uliopo Oysterbay jijini Dar.
Wanaowania
taji hilo ni Vestina Jax,Judith sangu,Amina Ayoub,Catherine
Masumbigana,Elizabeth Pertty,Elizabeth Boniface,Vivian Gilbert ,Darline Mmari , Zeenath Habibb,Sandra Suleiman,Cecilia
Emmanuel,Magreth Msafiri.
Mratibu wa
shindano hili Bwana Methusela Magese amewaomba watanzania wajitokeze kwa wingi
siku ya kesho kwani kuna mambo mazuri ya kufurahisha ikiwemo burudani ya muziki
wa bendi toka kwa mashujaa,ngoma za asili na bongo flava kwa kiingilio cha Tshs 15,000/= tu.m
Thursday, December 27, 2012
JOKATE KWA KIDOTI AJIMWAGA UNIQUE MODEL 2012
Jokate mwongelo kupitia kampuni yake ya Kidoti Loving amejikita ndani ya shindano la wanamitindo lenye mvuto zaidi kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka jijini Dar es salaam.
Unique models wote watapendeza kwa nywele za Kidoti ambazo zitasukwa kwa ufundi na salon yenye ujuzi wa hali ya juu ya J's professional salon iliopo mnazi mmoja.
Usikose kuja kutizama wanamitindo wakichuana Live jukwaani desemba 28 ijumaa hii ndani ya New maisha club kule ushuani Oysterbay.
Thanx Jokate,one Love.

Tuesday, December 25, 2012
ASIA IDAROUS,GYMKHANA HILALL NA MARTIN KADINDA WATEULIWA NA KUTOA UAMUZI UNIQUE MODEL 2012
Baraza la
sanaa la aifa limeteuwa majina matatu kati ya sita ya majaji yaliopendekezwa na waandaji wa shindano la kumsaka mwanamitindo
wa mwaka mwenye sifa za kipekee.
Uteuzi huo
wa wabunfu Asia Idarous
khamsini,Gymkhana Hilall (paka wear) na Martin Kadinda umefanyika mwishoni mwa
wiki hii baada ya baraza la sanaa la
Taifa (Basata) kupitia wasifu wao na kuridhika wawe waamuzi rasmi wa shindano
la Unique model 2012.
Kinyang’anyiro
cha kumsaka mwanamitindo huyo wa mwaka kinajumuisha washiriki kumi na mbili
katika jukwaa moja ambapo fainali hizi zitafanyika tarehe 28 desemba katika
ukumbi wa maraha New Maisha club ulioko Oysterbay jijini Dar.
Akizungumza
na mwandishi wa habari hizi mratibu wa shindano hilo Methuselah Magese amesema
kuwa maandalizi ya shindano hilo yako vizuri sana na washiriki wamenorewa kiasi
cha kutosha imebaki ni kazi ya umatiwa wapenzi wa mambo ya mitindo kujitokeza
kwa wingi kushuhudia nani atachukua taji siku ya ijumaa.
Shindano la
unique model litapambwa na burudani toka bendi ya mashujaa ikiongozwa na rapa
maarufu Chalz Baba ikiambatana na ngoma za asili toka kwa Costa Siboka na
utambulisho wa msanii mkali wa bongo flava B-shop kwa mara kwanza atatoa
burudani ambayo haijawahi kutokea.
Magese
aliongeza kuwa mbali ya burudani kutakuwa na zulia jekundu(Red carpet) kwa watu
maarufu na watu waliopendeza zaidi siku hiyo ambapo kiingilio kitakuwa ni Tshs
15,000 tu kiingilio ambacho hakitengi tabaka la watu flani katika jamii.
Monday, December 24, 2012
BASATA WATEMBELEA KAMBI YA UNIQUE MODEL 2012
Washiriki wa kinyaang'anyiro cha mwanamitindo wa mwaka mwenye sifa za kipekee uUnique Model 2012 wakipewa semina na afisa toka Basata,tukio hili lilikuwa katika hoteli ya Lamada mwishoni mwa wiki.
Tunaishukuru serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Baraza la sanaa la Taifa wamekuwa faraja kwetu kutusimamia na kuhakikisha shindano linaendeshwa kwa misingi ya haki na kufuata sheria na ksnuni za mashindano.