Pages
▼
Pages
▼
Monday, April 3, 2017
Monday, March 20, 2017
Friday, March 17, 2017
Monday, February 20, 2017
RAPPER METTY MUBASHARANI NA DAYNA NYANGE KWENYE WIMBO WA YOUR LOVE
Rapper Metty kutoka jijini Dar es salaam ametangaza kachia kibao kipya kinachoenda kwa jina la YOUR LOVE.
Wimbo
huo wenye mahadhi ya muziki wa kizazi kipya " bongoflava" maudhui
yalioambatana kuimba na kurap kiasi mtindo unaowavutia mashabiki wengi
wa muziki huo.
Katika
wimbo huo Metty amemshirikisha mwanadada Dayna Nyange anaefanya vizuri
kwenye medani ya muziki kwa sasa pamoja na muimbaji mwingine
anaechipukia kwa kasi aitwae Nappy.
Wimbo
wa YOUR LOVE umetengenezwa na mtayarishaji maarufu nchini Tanzania Mr T
Touch katika studio za Touchez Sound zilizopo sinza jijini Dar es
salaam.
Katika
mahojjiano na mwandishi wa habari hizi Metty amesema wapenzi wa muziki
wakae mkao wakupkea muziki mzuri wa level ya kimataifa,amejipanga
vyakutosha na hivi punde ataachia kibao hiko ambacho kitapatikana katika
vyanzo mbalimbali ikiwemo redio,lunimga na mitandao ya kijamii.