Gwiji la filamu afrika mashariki Steven Kanumba( a.k.a the great) ambaye nimuigizaji bora nchini tanzania amejivinia umashuhuli mkubwa kutokana na kipaji chake ambapo sasa antamba na filamu mpya itwayo (megic house)
Kanumba ni mmoja ya watu wa karibu na Enique Entertainment......wish u the best homie!!!
http://www.kanumba.com/
Pages
▼
Pages
▼
Wednesday, March 31, 2010
MISS KILIMANJARO 2010/2011
Mwandaaji wa miss tanzania kupitia mkoa wa kilimanjaro Jacqueline Chuwa (24) a.k.a top Model ambaye anafanya shuguliza mitindo nchini uganda, akiwa ni muhitimu wa chuo kikuu cha makelele (Uganda)
Aliongea na Eniqueentertz kuwa shindano la kumtafuta miss kilimanjaro litafanyika tarehe 28/5/2010 katika ukumbi wa la liga club mjini moshi kupitia kampuni ya scorpion Promotion&Entertainmeant.
Mwalimu wa washiriki ni Glory Benedict(Miss Arusha 2009).

Tuesday, March 30, 2010
Tyra Banks
Mwanamitindo Maarufu duniani Tyra Banks akiwa stejini na kivazi cha aina yake, Banks alizaliwa Desemba 4,1973 ndani ya Inglewood California pia ni mwigizaji na mtangazaji wa vipindi vya mahojiano, Tembelea http://www.tyrabanks.com/