Pages

Pages

Wednesday, March 31, 2010

MISS KILIMANJARO 2010/2011

Mwandaaji wa miss tanzania kupitia mkoa wa kilimanjaro Jacqueline Chuwa (24) a.k.a top Model ambaye anafanya shuguliza mitindo nchini uganda, akiwa ni muhitimu wa chuo kikuu cha makelele (Uganda)
Aliongea na Eniqueentertz kuwa shindano la kumtafuta miss kilimanjaro litafanyika tarehe 28/5/2010 katika ukumbi wa la liga club mjini moshi kupitia kampuni ya scorpion Promotion&Entertainmeant.
Mwalimu wa washiriki ni Glory Benedict(Miss Arusha 2009).

No comments:

Post a Comment