Pages

Pages

Wednesday, April 7, 2010

MISS TANZANIA ATOBOA SIRI NZITO

 Miss tz 2009-2010 Miriam Gerald mlimbwende mwenye wingi wa haiba ametoboa siri nzito kuhusu swala la misosi kuwa anafagilia sana kula Ugali na Dagaa wa ziwvictoria.
  Miriam aliieleza uniqueentertz.blogspot.com kua yeye yuko tofati na mamiss wengine ambao wakipata majina makubwa wanakataa vyakula vya asili kama ugali mlenda,makande n.k.
 mbali na chakula anapenda skin jeans,top kuacha mabega wazi na high hills pia hana maringo kama mastaa wengine ..mmhhh  hivi ndo vitu vya mwanza NANI ATARITHI HII TABIA YA UKARIMU JUNE 4 2010

No comments:

Post a Comment