TBL NA VODACOM KUDHAMINI MISS MWANZA
Kampuni Ya mawasiliano VODACOM na TBL kupitia kinywaji cha REDDS kudhamini Miss mwanza katika shindano kubwa kuelekea VODACOM Miss Tanzania 2010 ambalo litafanyika kabla ya mfungo wa ramadhani.
W adhamini mbalimbali wanaendelea kujitokeza na watatambulishwa kupitia hapahapa http://www.uniqueentertz.blogspot.com/ ambapo wadhamini wote wataoneka hapahapa mpaka mwisho wa fainali za miss Tz.Miss MWANZA ITAFANYIKA 4-6-2010 jijini mwanza, CLICK OLDER POST upate habari kemkem.
No comments:
Post a Comment