Pages

Pages

Monday, April 12, 2010

TMG YAANZA KUMEGUKA

   I kiwa siku chache tu baada ya kuanzishwa kwa muungano wa wanamitindo Tanzania(TMG),mdudu wa fitina ameanza kuimega crew hiyo baada ya kumwagwa baadhi ya models.
    Mkurugenzi wa TMG Ally Hassan aisema kuawa kumwagwa kwa models hao ni kutokana na nidhamu mbaya na kutohudhuria vikao.
     Wakati huohuo modwaliomwagwa wanadai kutotendewa haki kwani walishiriki kwa hali na mali kuhakikisha TMG imefika hapo leo iweje wkirahisi tu.
  

No comments:

Post a Comment