Pages

Pages

Thursday, April 22, 2010

TMG YAFUKA MOSHI

  Muungano wa wanamitindo Tz (TMG) chini ya mkurugenzi Ally Model umelalamikiwa na wanamitindo wadogo kua wao hawapewi dili'michongo inafanywa na mamodel wenye majina tu.
  Mkurngenzi msaidizi wa TMG Bwana michael alijibu tuhuma hizi kwa simu ambapo Ally model hakupokea simu kwa takribani wiki nzima.
  Michael aliiambia uniqueentertz.blogspot.com kua muungano huo bado haujaanza kutoa dili bali kila model anafight kivyake kitendo kinachowaboa wanamitindo wachanga hata show hawapati ila wanawaona mabosi wao wanazidi kutoka.Michael anawataka wawe wavumilivu kwani mapinduzi hayaji kama mvua.

No comments:

Post a Comment