Pages

Pages

Monday, May 31, 2010

CONSOLLATA LUCAS MISS TABATA 2010

Mnyange Consolata Luas katwaa taji la miss Tabata 2010 ambapo mshindi wa pili alikuwa Sinthia Bavu na watatu ni Lilian Andrew.mtanange huo ulifanyika katika ukumbi wa Dar west uliopo Tabata jijini Dar es salaam ambapo bendi ya Twanga pepeta iliburudisha pia walikuepo wadau kadhaa katika tasnia ya urembo kushoto ni hashim lundenga,tom chilala(chang"ombe) na kulia ni ben kisaka(kanda ya temeke)

ROSE JOHN: MISS INTERCOLLEGE 2010

Mrembo toka chuo cha ustawi wa jamii Rose John ameibuka kidedea baada ya kunyakua taji la miss intercollege 2010 ambapo nafasi ya pili alishikaCassiana Millanga kutoka chuo cha CBE na watatu ni Marylidia Boniface toka usawi wa jamii,ambapo shindano lilifanyika katika ukumbi wa stare club Bilcanas.

Thursday, May 27, 2010

RIMA FARIH MISS USA 2010

Rima Farih ndio mrimbwende alienyakua taji la Miss USA,kabla ya kuwa miss usa alikuwa miss michigan asili yake muarbu mwenye uraia wa marekani,Lima atajumuika na walimbende wengine toka pande za dunia kumsaka Miss World 2010.

Friday, May 21, 2010

WASHIRIKI MISS MWANZA KUANZA MAZOEZI RASMI TAREHE 5 JUNE,WADHAMINI WAJITOKEZA KUDHAMINI

Washiriki wa miss Mwanza wanategemewa kuanza mazoezi ya pamoja ikiwa ni catwalk na kudance chini ya mwalimu wao Rehema Izuiya katika ukumbi wa Yatch club mjini Mwanza Ambapo mtanange utafanyika hapohapo tarehe 18 june 2010 ambapo jumla ya wa jukwaaniashiriki 22 watapanda kuwania taji hilo ambapo washindi watatu wataingioa miss lake zone.MissMwanza inandaaliwa na kampuni ya SISI ENTERTTAINMENT ya jijini DAR.Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bwana JOHN dotto aliongea haya na blog hii june 20,kemy model ni moja ya washiriki miss mwanza2010.
**********************************************************************************
WAKATI HUO HUO: WADHAMINI WATATU WAJITOKEZA KUDHAMINI MISS MWANZA.
 Ambapo duka nguo la kisasa la ZAI FASHION litawavalisha na kuwapamba wakati MKAPO ENTERPRISES watengenezaji wa furniture mbalimbali wataoa zawadi kwa mshindi wa kwanza yenye thamani ya ml 2.5. pia sehemu ya kufanyia mazoezi imehamia katika hotel ya NYUMBANI HOTEL iliop[o jijini Mwanza,Ambapo REDDS na VODACOM walishajitangaza muda mrefu kuwa nasi

SUMMER"S SMARTNESS CHOICE

Ladys and gents please pick a suit for your shape in this up comming summer time in Dar es salaam and other place were summer take place,if you straight  figure,large bust or full hips and thingh cut  legs..BIDHAA MFANO WA HIZI ZINAPATIKANA TRUWORTHS MLIMANI CITY,elcome summer time !! lakini je wabongo tulio wengi tunavaa kulingana na majira na wakati?.ANGALIZO kila nguo ina wakati na mahali pake angalia usivamie shali ndugu mavazi na watu wake bwana!

Thursday, May 20, 2010

BELINA MGENI MODEL MKONGWE KWENYE FASHION SHOW ZA BONGO

Ukitaja jina Bellina mgeni kwenye gemu la fashion nchini Tanzania hakuna mtu atakekushangaa sababya umahili wake katika fashion show za Bongo alianza gem toka 1995 ni moja ya wadada warembo wa sura na maumbile ana swagga la ajabu awapo stejini.

CHEGE NA OFF SIDE TRICK KUWASHA MOTO MISS KILIMANJARO 2010

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chege Chigunda anategemewa kuwasha moto katika competion kubwa yakumsaka miss klimanjaro 2010 ni 11- 6 -2010 ambapo ataandamana na other musicians from  Off Side Trick crew.
pia kutakuwa na band ya Serengeti Band na vikundi vya ngoma za asli,Hayo yote ni katika ukumbi wa Laliga club uliopo moshi town ,kwa upande wa pili wa mwandaaji Jacky Chuwa kuna taarifa kuwa jumla ya washiriki wameongezeka kati ya wale tisa waliokuepo,NEXT tym ntawatonya majina yao baada ya picha zao kuwasili kwa njia ya intertnet hivi karibuni.

Tuesday, May 18, 2010

FROLAH MARTINE MISS IFM 2010


Mrembo frolah martine toka chuo cha ifm ndie alieibuka kua mshindi  wa kwanza kutoka katika chuo hiko akifatiwa na Judith{left} na watatu ni Ester Emanuel9kulia} ambapo mtanange utakua pale katika kinyang"anyiro cha kumsaka miss toka vyuo vikuu ampapo washindi wataingia moja kwa moja kwenye fainali za Vodacom Miss Tanzania. kila laheri  frolah ili uwe miss Tanzania unaewakilisha toka IFM

Monday, May 17, 2010

FATMA AMOUR MBUNIFU MAHILI TOKA TANZANIA

Fatma Amour moja ya wabunifu maridadi toka jijini Dar es salaam amesifika kwa umahili wa kubuni nguo zenye asili ya mtanzania na mataifa mengine ya kiafrika

Friday, May 14, 2010

PENZI LA KANUMBA LAGEUKA MNYORORO KWA WEMA

 Mapenzi yalioshamili enzi za kanumba na wema yainaonekana kujengwa upya na movie mpya WHITE MARIA lakini kila mmoja anajihami kwakusema iyo movie ni ya zamani kurekodiwa. hayhaya best watu wanasubili taarifa muhim za ilo tukio la upande wa pili  mmmhhh.... mmhhhh...historia kujiridia? movie hiyo inatoka mwezi wa sita kaa mkao wa kutizama

Tuesday, May 4, 2010

ANGEL MELAKU: SEXY FASHION MODEL

on 

Angel melaku,she wa was born  23 0ct 1986 in ethiopia and spend in wahington dc,she is afashion model,rapper and actres her father is Afro-Trinidadia and her mother is Ethiopian now she is living in usa,her album called angel lola luv (click older post ) for mre info