Pages

Pages

Thursday, May 20, 2010

CHEGE NA OFF SIDE TRICK KUWASHA MOTO MISS KILIMANJARO 2010

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chege Chigunda anategemewa kuwasha moto katika competion kubwa yakumsaka miss klimanjaro 2010 ni 11- 6 -2010 ambapo ataandamana na other musicians from  Off Side Trick crew.
pia kutakuwa na band ya Serengeti Band na vikundi vya ngoma za asli,Hayo yote ni katika ukumbi wa Laliga club uliopo moshi town ,kwa upande wa pili wa mwandaaji Jacky Chuwa kuna taarifa kuwa jumla ya washiriki wameongezeka kati ya wale tisa waliokuepo,NEXT tym ntawatonya majina yao baada ya picha zao kuwasili kwa njia ya intertnet hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment