Pages

Pages

Tuesday, May 4, 2010

MISS MWANZA YASOGEZWA MBELE MPAKA JUNE 18

     Shindano la kumsaka mlimbwende toka jijini Mwanza kupitia mkoa huo yamesogezwa mbele toka may 4 mpaka june 18 ambapo fainali za miss lake zone zitafanyika mwanzoni mwa mwezi wa saba.
      Akizungumza na blog hii mratibu wa mashindano hayo John Doto amesema jumla ya warembo 22 watapanda jukwaani kuwania taji hilo,aidha wadhamini mbalimbali wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza kudhamini shindano hilo.

No comments:

Post a Comment