Pages

Pages

Wednesday, June 16, 2010

UMARIKIA WA MIRIAM GERALD WAANZA KUMEGUKA KUANZIA JUNE 25



MIRIAM GERALD
Malikia wa urembo nchini Tanzaniua Miriam Gerald(the queen of tz),umalikia wake utaanza kuangunguka  kuanzia june 25 ambapo mtanange wa kumsaka Miss Mwanza jimbo ambalo alilotokea  kwa kunyakua ushindi kabla yakuwa Miss Lake Zone ambapo alifanya maajabu tena na kuwa Miss TZ  ambapo alivunja record ya nasreem kharim.
Miss mwanza mwaka huu itafanyika june 25,yatch club jijini mwanza.





MICHAEL YOGAYOGA
Mwanasarakasi wa kimataifa michael mwenye staili ya yogayoga katika fani hiyo anatarajiwa kufanya tour nje ya nchi baada ya kombe la Dunia katika nchi mbalimbali ulimwenguni..
  Michael amesema baada ya kurudi nchini atafanya ziara katika mikoa ya Tanzania kueneza sanaa hiyo kwa watoto wadogo.
   Lengo la mihael ni kusaidia waoto yatima ili wajisikie nao pia wana haki upata kila kitu kama watoto wengine.

MISS ILALA ZIARANI TANGA
Kambi ya miss ilala inategemewa kuondoka jumamosi ya kesho kwenda mkoani Tanga kwaili ya mafunzo zaidi.
Aidha wakiwa Tanga watapata nafasi yakujifunza mengi ikiwa ni pamoja na kutembelea mapango ya Amboni na fukwe maridhawa,pia watahudhuria ufunguzi wa mbio za magari zinazotarajiwa kutimua vumbi karibuni.
WAKATI HUO HUO ; washiriki wa miss ilala watapata nafasi ya kuona shindano la kusaka miss Tanga.(pichani katikati ni kalikumtima).

WELCOME TO GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
karibu giraffe hotel upate huduma za chakula,vyumba vya kulala,vinywaji,ukumbi wa mikutano,swimming pool,bar,tradition food,internet,gym and many more...
Richa Adhia & Nasreen Kharim wakipata chakula kitamu katika hotel ya giraffe iliyopo jijini dar katika fukwe za mwambao wa bahari ya hindi.


KELVIN MODEL (NEW MODEL)
.
Kelvin Bonie ni model mya katika ilimwengu wa anapata shavu la ukweli kwenye uniqueentertz kuonekana world wide through here.

ELIZABETH B.one of my friends who reading stories from uniqueentertz.blogspot.com everyday,she is 18 years old(from abroad).

1 comment:

  1. well done, tunataka hot news and thanks to 8020 kwa support.

    ReplyDelete