Pages

Pages

Thursday, August 19, 2010

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiangalia Simba anayepita karibu na magari yao wakati warembo hao walipotembelea Hifadhi ya Ngorongoro kujionea wanyama na mambo mbali mbali yalipo katika hifadhi hiyo.
Washiriki wa  mashindano ya Kumsaka Vodacom Miss Tanzania wakicheza ngoma ya Kimasai wakati walipokaribishwa katika Boma la wafugaji hao lililopo ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro wakati wakiwa katika ziara yao ya kutembelea vivutio vya Utalii vilivyopo Mikoa ya Kaskazini, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakitoka katika nyumba za Tembe za wafugaji wa jamii ya Kimasai waishio katika Hifadhi ya Ngorongoro wakati wakiwa katika ziara yao ya kutembelea vivutio vya Utalii vilivyopo Mikoa ya Kaskazini, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani.

Baadhi ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakinunua shanga za kimasai kutoka kwa wauzaji waliopo katika Boma lililopo katika Hifadhi ya Ngorongoro wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo wakiwa katika ziara yao ya kutembelea vivutio vya Utalii vilivyopo Mikoa ya Kaskazini, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani.
 
BIG BROTHER ALL STARS IMENZA MAMBO MAZITO...!!~


Baadhio ya washiriki wa BBA wenye jinsia moja wakila denda HUKU WENGINE WAKILA CHABO .....huu si usagaji jamani..!!

DRESS CODE YA MILIAM.....VIDUME HOI  !!
Mtoko wa staili ya kuvaa kwa mrembo miriam Gerald imewaacha hoi vidume kadhaa wanaopenda kuangalia waschana warembo waliopendeza yaani waliotoka sexy hapa mjini.
Miriam gerald akipozi kwaajili ya picha
 
I like the way she move ....said AKON

MAPOZI YA KIJICHO KIMOJA YATAMPONZA MISS KILIMANJARO
        Wakazi wa kilimanjaro wanaofatilia blog hii ya urembo na mitindo wameiomba uniqueentertz kufikisha ujumbe kwa mrembo wa mkoa wao kutofumba kijicho kimoja wakati anapiga picha sababu hii itamkosesha nafasi yakuwa Miss photogenic ikiwa ni kigezo mojawapo chashinda Redds fashion ambassador 2010 angali anastaili. 
Mkazi moja wa huko moshi mjini alieiambia uniqueentertz kuwa wanamshauli mrembo wao kukaa karibu na kamera pindi waandishi wa habari wanapopiga picha ...daaa!! ama kweli prisca mkonyi anakubalika kwao...mtu kwao!!
prisca mkonyi miss kilimanjaro 2010

WAREMBO WAINGIA KINAPA
Warembo wa miss Tanzania 2010 wakiingia katika hifadhi za mlima kilimanjaro(KINAPA)
Warembo wakiangalia ramani ya mlima kilimanjaro katika hifadhi ya mlima kilimanjaro(KINAPA) 

MICHAEL MAURUS MWANDISHI BORA WA HABARI ZA UREMBO NA MITINDO
Yapata miaka kadhaa imepita michael amekuwa akiandika habari za urembo na mitindo mpaka ikafikia kupelekwa china katika mashindano ya dunia ya urembo akiambatana na Richa Adhia kwa udhamini wa kampuni yas vodacom nchini.
maurus amekuwa akitambulika kwa kazi bora anazofanya ikiwa ni pamoja na kuandika makala za urembo pamoja na kutabiri nani atatwaa taji,kwa mwaka jana alimtabilia miriam na kweli akashinda,mwaka huu atatabiri . stay tuned ! 

GLADS SHAO;MATRON WA MISS TANZANIA ALIETOKEA DAR CITY CENTER
Glads shao ni mrembo alitokea miss dar city 2009 kwa kushika namba mbili na kuendelea kushika namba mbili hiyohiyo katika miss ilala 2009 hatimaye kuingia top ten ya miss Tanzania 2009.
Glads shao akitoa namna ya kutunza kucha kwa warembo
Kwa juhudi amwaka jana kwa nidhamu na kuongoza katka dance sasa amepata shavu la kuwa matroni wa miss tz 2010 kitu ambacho ni faraja kwake,na huu ni mfano kwa wengine kuwa na nidhamu na kujiheshimu wao wenyewe na jamii itakuheshimu na kukutafuta tu


               

                  Warembo wanaoshiriki Vodacom miss Tanzania 2010 wakikabidhi vyandalua vya kuzuia mbu katika hospitali ya marangu-(moshi)

                 SIMU MPYA YAMTOA NISHAI MIRIAM GERALD
                      Miriam Gerald akiwa Giraffe hotel
   Katika hali isiyo ya kawaida mrembo wa Taifa Miriam Gerald alijikuta akihangaika kwa muda mrefu namna ya kutumia simu yake mpya ambapo kitufe cha + kilipomshinda kukipata wakati akihitaji kupiga simu nje ya nchi.
   Hali hii limfanya Miriam awe mnyonge na kuomba msaada kwa mtu (jina kapuni) ili amtatulie tatizo hilo kitu ambacho aliona aibu na kumnong'oneza jamaa ategue utata wa kitufe cha nyota katika simu yake.

Selfridges Vs. Dolce & Gabbana 

                           

FROM next spring, Selfridges will no longer stock Dolce & Gabbana after an alleged dispute between the department store and the designer brand.

It has been claimed that the falling out happened after Selfridges proposed changes to Dolce & Gabbana's in-store positions and those of its D&G line.

According to The Daily Telegraph and Drapers, it remains unclear whether Selfridges dropped Dolce & Gabbana or vice versa.


          SAFARI YA WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA 
   Warembo wa shindano la kumsaka mlimbwende wa Taifa yaani Vodacom miss Tanzania 2010  ilianza jana asubuhi kueleke nyanda za kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kujifunza mengi kwa warembo hao ikiwa ni moja ya ratiba za shindano hilo.jana walilala moshi na leo safari inaendelea,(Dar to Arusha)
              warembo wakiwa darja la wami mkoani pwani
                       Baadhi ya warembo wakipiga picha njiani 
                 Mbali ya kusafiri ilikuwa shangwe kila wakati                                                                                                               
THE SEARCH FOR REDDS FASHION AMBASSADOR 2010
               Kabula akikabidhi mabox ya Redds kwa warembo
             Brand manager wa Redds akipozi ki-Redds na warembo
             Britney burasa akipokea sare ya Redds toka kwa Brand manager                                        
Utaratibu wa kumchagua Balozi wa REDDS2010 utafanyika chini ya majaji watano ambao watatoka TBL na kamati ya miss Tz.
     Akiongea katika kikao caha kuitambulisha kinywaji cha REEDS kwa warembo Brand manager wa REDDS bi.Kabula Nshimo aliwasisitizia warembo kunywa kinywaji hicho kwani ndiyo maalum kwaajili yao.
      Kabula alitoa waraka wenye sifa za kushiriki Redds Massador 2010- kwa washiriki wa shindano la kumsaka Miss t\Tanzania 2010,sfa hizo ni kama ifuatavyo;
       1.Mchangamfu,mwenye ucheshi na mvuto.
       2.Uwe wa kutumia lugha za kiingereza na kiswahili kwa ufasaha na ushawishi.
       3.Mwepesi wa kuelewa,mwenye uezo a kufikiria,kuchambua na kuelewa mambo mbalimbali.
       4.Utulivu na kujiamini bila jazba.
       5.Hekima,busara na tabia njema
       6.Miondoko ya kimaonyesho ya mitindo ya nguo  yenye kulenga kuonyesha ubora ubora na uzuri wa nguo.
       7.Ufahamu na uelewa wa mambo ya mitindo ya Tanzania na ya kimataifa.
       8.Ufahamu na uelewa wa kinywaji cha REDDS.
       9."PHOTOGENIC"awe na mvuto katika picha.
      10.Mchangaqmfu,menye mlahaka na mkabala mwema.
      11.kauli ya futi kamba,-
                                            *Urefu/kimo;wala  5.8
                                            *kiuno 26'-28"
                                            *kifua32'-34"
                                            *hips36"-34"

     
PRESS DAY YA VODACOM MISS TANZANIA KUFANYIKA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
  Tukio muhimu la waandishi wa habari kupiga picha na kufanya mahojiano kinyang"anyiro cha kumsaka mrembo wa taifa katika mashindano makubwa ya Vodacom miss Tanzania yamefanyika leo katika hoteli ya Giraffe iliyopo jijini Dar es salaam.
JOKATE

Miriam Gerald(mwalim wa catwalk) & Glads Shao(matron)

 Warembo wakipata msosi wa nguvu katika hoteli ya Girraffe ocean view ya jijini Dar es salaam
                                                                              
                                                                              

Mbali ya kufanya hayo waandishi n a warembo walipata nafasi ya kubadilishana mawazo na kupata chakula cha mchana pamoja hotelini hapo.
    Asubbuhi ya tarehe 20 washiriki na baadhi ya viongozi wa kamati ya miss Tanzania watasafiri kuelekea nje ya jiji la Dar kuanalia na kujifunza mengi toka vivutio mbalimbali vya utalii.

No comments:

Post a Comment