Pages

Pages

Saturday, September 25, 2010

     UNIQUE ENTERTAINMENT PRESENTS GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010

   Kampuni ya Unique Entertainment inatarajia kufanya show bab-kubwa ya mitindo nchini Tanzania iitwayo Giraffe unique model 2010 itakayojumisha shindano la wanamitindo kumi bora wa kike ambapo vigezo vya wanamitindo hao vitatajwa hivi karibuni.
    Lengo la shindano hili ni kuinua sanaa ya mitindo nchini Tanzania ambapo inaweza kutoa ajira kwa vijana kama kazi zingine kwa muda wote,hii ni tofauti sana na mashindano mengine kwani washiriki wote kumi watakuwa na nafasi ya kuwajibika katika jamii na binafsi kwa kumuingizia kipato mwanamitindo tofauti na mashindano mengine kwa mwaka mzima.
  ITADHAMINIWA Na : Graffe ocen view hotel,Tanga beach resort hotel, Truworths,uniqueentertz blog na wadhamini wengine wataendelea kutajwa.  STAY TUNED

  MODFL ANGEL AHITIMU ELIMU YA SEKONDARI
  Angel mmoma akiwa katika pozi baada ya kuvalishwa taji.
Model akimlisha rafike keki katka siku ya sherehe za kuhitimu elimu ya sekondari..
 Dada wa Angel,Messy mboma alilishwa keki dabo-dabo watoto wa sekondari wasivoyulia.....!!
 Ndugu na jamaa walishow love kwa Angel kwaq kumpa zawadi kadha wakadhaa..ama kweli alijiskia faraja sana kwa kutembelewa na camera yetu katika tukio la muhimu kakwe.

No comments:

Post a Comment