Pages

Pages

Tuesday, September 28, 2010

BREAKING NEWS..!!

AJALI MBAYA YA PIKIPIKI YATOKEA JIONI HII SAMORA ANENUE
      Ajali ya pikipiki imetokea leo jioni katika barabara ya samora avenue ambapo pikipiki iliyokuwa inakwenda mwendo wa kasi kupata ajali ambapo dereva na raia mmojaq walijeruhiwa vibaya na kuwahishwa hospitali.
Sekunde ya tano baada ya kuoikea kwa ajali ya pikipiki ambapo pikipiki ilibiringita kumkwepa mama mpita jia hatmaye ilimjeruhi vibaya mama huyo katkati ya barabara ya samora.
Dereva pikipiki hakutambulika jina kwa haraka akiwa ajitambui baada ya ajali kutokea huku damu zikimtoka kichwani.
Mama mjeruhiwa jina halikufahamika mara moja ,akiwa anasaidiwa na raia wema huku damu zikimtoka kila mahali sehemu ya kichwani.


No comments:

Post a Comment