Pages

Pages

Tuesday, October 12, 2010

WALIOPITA SWAHILI FASHION HAWA HAPA





TRIPPLE TEN BASH YA VODA



Msanii wa Muziki wa kizazi kipya,John ALex (Jerry) akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa tamasha la Vodacom Triple Ten Bash lililoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi katika Hotel ya Jangwani Sea Breeze ikiwa ni kuazimisha miaka kumi ya Vodacom Tanzania kwa kutoa huduma zake hapa

No comments:

Post a Comment