Pages

Pages

Monday, November 22, 2010

BOZI BOZIANA ATUA NCHINI KUREKODI NA TWANGA PEPETA



                              Waandishi wa habari wakimsubiri BOZI BOZIANA
Mwanamuziki nguli wa JAMUHURI ya KIDEMOKRASIA ya CONGO, BOZI BOZIANA amewasili nchini kwa ziara kikazi katika kuzikonga nyoyo za wapenzi wa muziki wa dansi kwa kushirikiana na bendi ya AFRICAN STARS,ama  TWANGA PEPETA.

Meneja wa BOZI BOZIANA GODRICK NUNI na Mkurugenzi wa bendi ya TWANGA PEPETA ASHA BARAKA wanasema mwanamuziki huyo mkongwe  atakuwa hapa nchini kwa  muda wa wiki moja na atarikodi nyimbo na bendi ya AFRIKAN STARS.



UMEZALIWA TAREHE MOJA NA CALVIN KLEAN ALIYEZALIWA 19NOV1942 HUYU NI MBUNIFU MAARUFU WA MAVAZI NA MITINDO LEBO YAKE (CK) IKITHAMINIKA NA KUTAMBULIKA KONA NA KONA ULIMWENGUNI.

No comments:

Post a Comment