Pages
▼
Pages
▼
Thursday, November 18, 2010
VIGEZO HIVI KUWAHUKUMU WANAMITINDO JUMAMOSI HII PALE GIRAFFE HOTEL
Jumla ya vigezo nane vitatumika kuwapata wanamitindo kumi wa kike wenye sifa za kitofauti katika shindano maarufu la mitindo nchini Tanzania liitwalo Giraffe unique model 2010.
Ni siku ya jumamosi hii saa sita mchana ndani ya ukumbi wa jet 1 katika hoteli yenye hadhi ya nyota nne namaanisha Giraffe ocean view hotel,hoteli im\nayomilikiwa na watanzania katika ukanda wa bahari ya hindi inayojali utamaduni wa mtanzania na kuibua viapaji vya wanamitindo wachanaga ikishirikiana na Unique Entertaunment.
Wanamitindo wote waanaotaka kufika level za kitaifa na kimataifa si siku ya kukosa pengine ndio ikaw mwanzo wa kufunguka kwa maisha yako. ni 20 novemba 2010
Pia utatupata kwa taarifa fupifupi kupitia facebook,log in "giraffe unique model"
VIGEZO:
1.miondoko ya kimaonyesho ya mitindo ya nguo yenye kulengakuonyesha ubora wa nguo
2.Photogenic:(monekano wa picha)
3.kujiamini
4.Uelewa wa mambo mbalimbali ya mitindo na jamii
5.Uchangamfu,ngozi asilia na mvuto wa kimitindo
6.Tabia njema katika jamii
7. umri: 18 - 28
8.Jinsia : kike
No comments:
Post a Comment