Pages

Pages

Wednesday, December 8, 2010

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 (HOT GIRLS IN TOWN)

Carina suleiman
Christina Peter

Bilkis Suleiman

Asia Dachi


Mariam Rabii

Caroline Mwakasaka

Dorah Mhando

Neema Silvery

Ritha Samuel

Diana Hamson
"WO BECOME UNIQUE MODEL OF THE YEAR 2010"?

HIVI NDIVYO VIFAA VITAKAVYOCHUANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUPATIKANA KWA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 LITAKALOFANYIKAKATIKA HOTELI YENYE HADHI YA NYOTA NNE YA GIRAFFE OCEAN VIEW TAREHE 24 DESEMBA 2010.HOTELI HIYO IPO KUNDUCHI,JIJINI DAR

SHINDANO HILI LINAKUJA KWA UDHAMINI MKUBWA WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL,CHANNEL TEN,GLOBAL PUBLISHERS,ROBBIAC PAINTS,ALI REHMTULLAH,MTAA KWA MTAA BLOG PAMOJA NA UNIQUE ENTERTZ BLOG.


HAPPY INDEPENDENCE DAY!

LEO ni siku ya Uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika. Watanzania wote wanaadhimisha uhuru wa Tanganyika kutimiza miaka 49 tangu wakoloni wa Uingereza walipokabidhi hatamu za uongozi wa taifa hilo, ambalo sasa linajulikana kama Tanzania Bara, kwa wananchi wenyewe, Desemba 9, 1961. Maadhimisho ya siku hiyo yanawapa nafasi na changamoto kubwa Watanzania za kutafakari walikotoka, walipo na wanakokwenda li kuona wapi walikosea, kuteleza au kufanya vizuri, na kupanga mikakati ya kuondoa kasoro na kuweka mipango madhubuti zaidi ya kuendelea kulijenga taifa lao.

 

 WADAU WA MAVAZI KARIBUNI KWENYE JUKWAA LA UNIQUE MODEL MJITANGAZE KATIKA HARAKATI HIZI ZA MAPINDUZI YA MITINDO TZ
 wabunifu na wadau wa mavazi karibuni mjitangaze kwenye jukwaa la Giraffe unique model 2010 kwani itakuwa baabkubwa, ni bonge la show ambalo litakusanya wakali wa fashion hapa Tanzania.

Mduka ya nguo maarufu,wabunifu,wadau wa mitindo na bidhaa zote za mitindo karibu mjitangaze kwa kuonyesha bidhaa zenu kupitia mamodo unique siku ya show 24 Desemba katika hoteli ya Giraffe ocean view hotel kuanzia mida ya saa mbili usiku.

No comments:

Post a Comment