Pages

Pages

Sunday, January 16, 2011

MASTAA WAPAMBA ONYESHO LA B-BAND THAI VILLAGE


Rais wa bendi ya B- Band Mzee Zahir Ally Zorro (kushoto) akiwa katulia kiaina huku shoo ikiendelea kusongesha huko jukwaani. Ni jana katika ukumbi wa Tai Village maeneo ya Oyster-bay ambapo Banana Zorro alifanya mambo makubwa na The B-Band

Msanii Khalid Mohammed TID nayeye alikuwepo kumpa sapoti Banana usiku wa jana.Hapa chini TID yupo na rafiki yake wa muda mrefu, mara kwa mara huwa nakutana nao usiku , jana TID hakunywa pombe kabisaa! Ulikuwa ni mwendo wa soda aina ya Fanta!


Hapa chini ni galacha Mafumu Bilali Bombenga . Huyu ni mwanamuziki mkongwe.

No comments:

Post a Comment