Pages

Pages

Tuesday, February 22, 2011

CUF WAJITUTUMUA GONGO LA MBOTO

Mwenekiti wa chama cha wananchi CUF Bwana Ibrahim Lipumba akibeba jujuu kiroba cha unga kutoka kwenye gari wakati chama hicho kikikabizi msada huo kwa wahanga  wa mlipuko wa mabomu katika kambi ya jeshi Jwtz huko gongo la mboto leo.


WAPINZANI WALIPULIWA NIGERIA


Jimbo la Niger Delta nchini Nigeria
Kumetokea mlipuko mkubwa katika afisi za kampeni za chama cha upinzani nchini Nigeria katika jimbo la Bayelsa lililoko katika eneo la Niger Delta.
Mlipuko huo uliotokea mapema jana ulisababisha uharibifu katika jengo hilo, ambako chama cha upinzani cha Labour Party kina afisa zake.
Hata hivyo hakuna ripoti zozote za majeruhi.

Uchaguzi mkuu utafanyika mwezi Aprili.
Msemaji wa chama cha Labour Party amesema kuwa chama chake hakitatishwa na fujo zinazotokea.
Mwezi uliopita magenge ya watu waliokuwa na silaha waliwauwa wafuasi wa chama hicho cha Labour katika mkutano wa kampeni.
Hata hivyo, msemaji wa serikali wa jimbo la Bayelsa amesema chama cha Labour Party ndicho kilicho tekeleza mashambulio hayo, ili kuvutia macho ya vyombo vya habari.
Uchaguzi wa urais, bunge na magavana utafanyika Aprili mwaka huu.


 MAGUFULI AANZA KWA VITENDO KIGOGO
  Moja ya nyumba zilizopo katika eneo la Barabara maeneo ya Kigogo jijini Dar, zikianza kubomolewa ili kupisha upanuzi na ujenzi wa njia ya magari yaendayo kasi kama alivyoagiza Waziri wa Ujenzi John Magufuli hili karibuni, wakati alipofanya ziara na kupita katika Barabara hiyo iliyoanzia Ubungo Maziwa. 
 
 
photogenic; LALA
MODEL AITWAE LALA NI MREMBO TOKA  ATLANTA

No comments:

Post a Comment