Pages

Pages

Thursday, February 17, 2011

MABOMU KULIPUKA TENA DAR

 
Hali ya waanga bado tete mpaka sasa wamepoteza vitu vingi vya thamani,baadhi mimba changa kwa wakina mama zahofiwa kualibika huku watoto na wanawakekukumbwa naadhha zaidi.
Majoe.
Dar yageuka bagdad kwa usiku mmoja mabomu njenje kama iraq
Misururu mikubwa ya watu imeonekana ikihama kutoka maeneo ambayo jeshi limeagiza waondoke kuepuka uwezekano wa milipuko mingine kutokea.

No comments:

Post a Comment