Pages

Pages

Monday, February 14, 2011

 MGOMO WA DALADALA UMEIBUKA JIJINI MWANZA
   madereva na makonda wakiwa wanagomea nauli maeneo ya kirumba katika uwanja wa furahisha.
Mgomo wa daladala umetokea leo jijini mwanza baada ya madereva daladala na makondakta kugomea kutoza nauli ya Tsh 250 badala ya 300 angali mafuta yako juu,madai yao hawapati faida.
 Wanafunzi wakipiga ngondi kwenda skonga,magari hakuna jijini mwanza.duuu..!! migomo kila mahali mwaka huu. 




VITUKO VYA ROSE NDAUKA KATIKA PICHA

  Helo boiz du yu  c my chuchuzzzzzz.....!  its nice!???

Hili ni busu la kutoana damu..ful kuchubuana ngozi best.  hee we kaka utamtoa roho mwenzio

Waandamanaji waondoka mitaani Misri

Maelfu ya waandamanaji nchini Misri wameondoka katika eneo la wazi la Tahrir katika mji mkuu wa Cairo, baada ya utawala wa kijeshi kuahidi kuisitisha katiba ya nchi hiyo na kulivunja bunge.
Cairo
Mmoja wa waandamanaji akiwa Tahrir
Baraza kuu la kijeshi pia limesema litakaa madarakani kwa miezi sita, au hadi utakapofanyika uchaguzi.
Tangazo hilo limepokelewa vyema na waandamanaji wengi, wakiona kama kuvunjika kabisa kwa utawala uliopita, ingawa jeshi bado lijajitahidi kuondoa waandamanaji sugu katika eneo la Tahrir.
Rais wa Misri aliondka madarakani siku ya Ijumaa, baada ya siku 18 za maandamano.
Kwa siku ya pili mfululizo, polisi wa kijeshi walikuwa wakiwataka waandamanaji kadhaa waliosalia kuondoka katika eneo hilo. Baadhi yao wamesema wametishiwa kukamatwa iwapo hawataondoka.

No comments:

Post a Comment