Pages

Pages

Friday, March 18, 2011

BREAKING NEEWZ :MAGUFULI KUJIUZULU?


Habari zisizo rasmi zimeenea Tanzania kuwa waziri john pombe magufuri amemwandikia  mh.jakaya barua ya kujiuzuruwazifa huo
  Hii inatokana na kile kinachodaiwa  kuingiliwa ma jukumu yake na mh.pinda (waziri mkuu)na pia magufuli ni mfuata shelia kwelikweli sasa ni ngumu kwake kwenda kinyume na shelia  hizo kama tunavyomjua kwa msimamo yake.Harakati hizo zimeanzia pale waziri magufuli aliposhindwa kutokea katika kikao cha baraza la mawaziri kilichofanika juzi.

RATIBA YA ROBO FAINALI NA NUSU FAINALI UEFA

18 March at 12.00CET, Nyon
Quarter-final draw (5/6 & 12/13 April)1: Real Madrid CF (ESP) v Tottenham Hotspur FC (ENG)
2: Chelsea FC (ENG) v Manchester United FC (ENG)
3: FC Barcelona (ESP) v FC Shakhtar Donetsk (UKR)
4: FC Internazionale Milano (ITA, holders) v FC Schalke 04 (GER)
Semi-final draw (26/27 April & 3/4 May)1: Inter/Schalke v Chelsea/Manchester United
2: Real Madrid/Tottenham v Barcelona/Shakhtar

Final (20.45CET, 28 May, Wembley)
Winner semi-final 2 v Winner semi-final 1

The pairings from the quarter-finals onwards were determined by an open draw in which no teams were seeded and clubs from the same national association could be drawn against each other. The side drawn first will play the first leg at home. The last-four fixtures are also determined while an additional draw defined whether the winner of semi-final 1 or the winner of semi-final 2 will be considered, for administrative purposes, the home side in the final

kurta ya turufu yambana Gaddafi kutoka Umoja wa Mataifa

Benghazi
Waasi wamekaribisha uamuzi huo kwa furaha kuu mjini Benghazi
Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa limepitisha azimio linaloidhinisha kuchukuliwa kwa hatua za kuwalinda raia nchini Libya dhidi ya mashambulizi ya wanajeshi wa Kanali Muamar Gaddafi.
Miongoni mwake ni kutenga eneo ambalo ndege hazipaswi kupaa angani.
Lakini azimio hilo limepinga matumizi ya wanajeshi wa ardhini.
Serikali ya Ufaransa imesema hatua za kijeshi dhidi ya majeshi ya Kanali Gaddafi zitaanza wakati wowote.
Wanachama kumi wa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa walipiga kura kuunga mkono azimio hilo lakini wengine watano ikiwemo China, Urusi na Ujerumani walisusia kura hiyo.
Matokeo ya kura hiyo yamepokewa kwa vigelegele,vifijo na ulipuaji wa fataki katika eneo linalodhibitiwa na waasi la Benghazi, Mashariki mwa Libya.
Makundi ya waasi yalipeperusha bendera zao huku wakifyatua risasi angani mara tu habari hizo zilipowafikia.
Awali Kanali Gaddafi alikuwa aliapa kuuteka mji wa Benghazi na kusema kuwa mtu ye yote atakayepinga hatua hiyo atakabiliwa vikali.


MDOGO WAKE BEYONCE SOLANGE KNOWLES AIPAISHA KENYA!


Solange Knowles ametoa video track mpya iitwayo Kenya akifanya collabo na Twin Shadow,ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kufanikisha nchi ya Kenya inapata maji safi na salama.

Kwenye video hiyo anainekana Solange yuko kwenye Recording Booth, amevaa sketi ya kitenge na mwisho wa video hiyo kuna mandhari ya kimasai.



Another Jamaican Beauty - Melisha Holness

Melisha_Holness_beach_model_female_jamaican.jpg
Jamaica imebarikiwa kuwa na plus size models wakila aina cheki hapo juu



KIDEMU CHA JUSTIN BIEBER MATANI KUULIWA


Girlfriend wa Justin Bieber,Selena Gomez maisha yake yako hatarini baada ya kupokea vitisho toka kwa fans wenye wivu kupindukia wa Justin Bieber,ikiwa ni mwezi tu tangu Justin Bieber alipomtambulisha rasmi Selena kama 'demu' wake.
Selena amepokea vitisho vya kuuwawa toka kwa fans hao kupitia account yake ya twitter,na una wakati hata kim kardashian naye alitishiwa maisha baada ya kuhusishwa kuwa ana uhusiano na justin bieber.
Hasira zaidi toka kwa fans wa Bieber zilianza pale picha za yeye na Selena kuvuja kuonekana wako holiday pande za St.Lucia, wakiwa wamekaa kimalavi-davi zaidi

LIBENEKE JIPYA


 

No comments:

Post a Comment