Pages

Pages

Monday, March 21, 2011

UBORA NA UDHAIFU WA KILI MUSIC AWARDS


Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe
     Hatukatai kuwa kili music awards inasapoti wanamuziki wa nyumbani kwa kuwapa heshima ya kutambua ubora wa kazi zao za kimuziki .
kwa uju.i wangu ubora wa matukio ya utoaji tuzo shindano la urembo na mtindo kiwangocha udhamini kinachokidhi bajeti ya dhumunio hilo.
    licha ya kupata udhamini mnono  kili music awards toka ilipoanzishwa imekumbwa na changamotokila mwaka ikiambatana  na malalamiko ya hapa na pale hali hii tuizoee kwani imeshakua desturiwashiriki kutoridhika na matokeo lakini hii inatokana na mfumo
    wa uchaguaji nyimbo za kushiriki katika kinyang, anyiro hicho.Kutokana na kauli ya kigogo mmoja wa kileo cha Kilimanjaro Bw. George kavishe kudai kuwa wanataka kuboresha kili music award kwa tota ngazi ya kitongoji kama miss Tanzania ifanyavyo.
    Ni kitu ambacho kisichowezekana kwani 90% wa wasini wanaochukua tuzo wako dare s salaam.Je wanamuziki wa mikoani itakuwaje ?warembo wako nchi nzima ni rahisi kupita kila mkoa na kuwakusanya katika ngazi ya taifa lakini ni  ngumu kwa  zoezi la kutoa tuzo uanzekumsaka mwanamuziki bora wa mwaka huko vijijini.          
    Kwa mtizamo wangu yapo mapungufu mengi sana lakini nawekakalamu chini ili tusitafutiane baadaye lakini mjiulize je watanzania wanaojuahao watu wanaochagua nyimbo ipi ingie kwenye nomination?Je nyimbo zilizochanguliwa kushindana zinakidhi maitaji ya mwaka husika/tuzo kili ni za wanamuziki au wasani? AM OUT

Wyclef Jean Shot In Haiti; Released From Hospital

   Rap star Wyclef Jean was shot earlier today in his native homeland of Haiti, just hours before voting is slated to begin the contested Presidential election.
While details are sketchy, reports are stating Wyclef was shot in the hand. He has been since discharged from a local hospital in the city of Delmas.
   "We have spoken to Wyclef, he is ok," a representative said in a statement. "Thank you for your thoughts and prayers."
Wyclef is in Haiti supporting Presidential candidate Michel Martelly, who is running against Mirlande Manigat, a law professor who is also the former first lady of Haiti.
The elections are slated to start today (March 20th). 


SILYVIA SHALLY ABAMBWA LIVE

Silyvia shally miss ilala 2009 na mrembo mewnye mahusiano ya kimahaba na muigizaji maarufu barani Afrika stive kusekwa amefanikiwa kushika nafasi a tatu katika mashindano ya miss university Africa 2011 yaliyofanika mach 3 huko Bayelsa jijini lagos Nigeria .
Mnyange huyo amechukua bachelor of busness and Administrstion katika chuo cha CBE alitua jijini kinyakinya takribani wiki mbili zilizopita akitokea lagos akiwa na kitita cha 8 ml alichopata ikiwa ni zawadi ya mshindi wa tatu katika shindano hilo .
Mbali ya kitita hicho silyvia alizidi kuinyetisha uniqueentertz kuwa aliibuka na mataji mengine mawili ambayo ni The best dressed queen of the camp na The most outstandund queen .
Habari za nyuma ya pazia zinasema kuwa sylvia amekili kukumbwa na msongo wa mawazo unaombatana na wivu wa kimapenzidhidi ya mpenzi wake stive.


  KEKO NA DON MC WATUPA MBICHI

  Don MC

Keko
Wasanii Don MC na female rapper Keko Town pia toka nchini Uganda inasemekana kuwa wana uhusiano wa kimapenzi aka wanatupa mbichi.
Kwa sasa wako karibu sana coz kila sehemu wako pamoja na wanakua wanaonesha nyuso za furaha kila wakiwa pamoja.
Don MC na Keko wote wanakaa nyumba moja pande za Ntinda na walionekana hivi karibuni wakiingia kwenye bar moja hivi,kwanza walikuja pamoja then hand in hand na kukaa kwenye corner moja ya upendo na kuumalizia usiku wao pamoja nyumbani kwa Don MC

MODEL(tz): sinthia masasi
Height: 5″10

Weight: 127lbs

Measurements: 36C-24-37

Relationship Status: Single! (The only man I'm committed to right now is God and my career)
Favorite Sport: Basketball (I used to play)

Favorite Movie: Scarface, my brother used to watch this movie everyday.

Favorite Artist: Lionel Richie, Marvin Gaye, Elton John, Tupac, and Jay-Z

Favorite Food: Italian, Indian, and African food. I love spicy food

Astrological Sign: Leo.

Favorite body part: My smile, because a lot of people tell me I have a nice smile and straight teeth.

No comments:

Post a Comment