Pages

Pages

Friday, April 8, 2011

MJADALA WA KATIBA VURUMAI TUPU

           Dodoma jana viligeuka uwanja wa mapambano baada ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kutumia mabomu na risasi za moto kutawanya mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliotaka kuingia katika ukumbi wa Pius Msekwa kushiriki mjadala wa maoni wa Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba.Wakati hali hiyo ikiwa hivyo mjini Dodoma, mkutano wa aina hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam uliovurugika baada ya kutokea vurugu.

           Mapambano yaliyotokea mjini Dodoma, kati ya wanafunzi wa vyuo vikuu na FFU yalisababisha wakazi wa maeneo ya Makole, Uhindini, Sabasaba na Mtaa wa Railway kukimbia ovyo huku baadhi yao wakifunga maduka na biashara zao kuhofia kujeruhiwa kwa risasi.Hofu hiyo ilitokana na idadi kubwa ya watu, wengi wakiwa ni wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya mjini Dodoma, kulazimisha kuingia kushiriki mjadala huo katika Ukumbi wa Msekwa wenye uwezo wa kuhimili watu 300 ambao tayari ulikuwa umeshajaa.

           Katika vurugu hizo, wanafunzi hao walivunja lensi ya kamera ya Mpigapicha wa gazeti hili kwa jiwe walilokuwa wanataka kumpiga nalo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk James Msekela, wakati akizungumza nao.

         Msekela aingilia kati
Vurugu hizo ambazo zililazimisha polisi kupiga  risasi takribani 19 hewani, zilianzaa saa 5:00 asubuhi na kudumu kwa zaidi ya dakika 45. Hata hivyo, wakati risasi zikirindima wabunge na wadau mbalimbali walikuwa wakiendelea na mjadala huo katika ukumbi huo.



MISS KILIMANJARO 2011 YAANZA MATAMBO
     Shinandano la kumsaka myange wa wa kilimanjaro 2011 linategemewa kuanza hivi karibuni baada ya waandaji wa shindano hilo kudai kuwa sehemu kubwa ya maandalizi imeanza kukamilika ikiwa na pamoja kuwakusanya warembo kutoka sehemu mbalimbali kwaajili ya mazoezi(catwalk).

     Msemaji wa shindano hilo Bw.Methuselah Magese amesema kuwa yeye na mundaji mkuu wa shindano hilo Jaquekline chuwa tayari wako katika mchakato mnene kuhakikisha miss Tanzania wa mwaka huu banatokea mkoani Kilimanjaro.

     Shindano la miss Kilimanjaro litafanyika june 11 juni katika hoteli nya Salsanero iliyoko shant town mjini moshi ambapo mchekeshaji masanja toka kundi la the comedi atakuwa ndiye mc wa siku hiyo wakati msanii 20% na wengine wengi wataburudisha vyakutosha.

      Miss kilimanjaro 2011 imedhaminiwa na Vodacom,redds,Africa sana pub,rafiki min super market,Excutive solution,Bamm solution na www.uniqueentertz.blogspot.com.

        "Tunawaomba warembo wanaojiamini kuwa wao ni warembo na wenye ari ya kuwa vinara wa sanaa ya urembo wajitokeze kuwania taji hilo ambalo litakuwa na ushabiki wa aina yake kwani tunategemea kutoa warembo bomba ambao watatoa changamoto kwa vitongoji na kanda zingine" alisema magese.




 WAT IS IT ....??
shit..! Lil Wayne Kissing Birdman On Rap City!


  MAMBO YA CLUB BILICANS 

Anaitwa Lulu ....Baada ya  kafanya vimbwanga hadi mimi mwenyewe nikasema khaa....Ndiye Kimwana Mwanywele wa kwanza wa Twanga Pepeta ....alizawadiwa gari kama zawadi 2007

Nato yashambulia waasi inaowasaidia  

Waasi mashariki mwa Libya wanasema majeshi yao yamepigwa na majeshi ya Nato katika shambulizi la anga - kwa bahati mbaya.

Waasi
Baadhi ya waasi waliojeruhiwa
Madaktari mjini Adjabiya wameiambia BBC kuwa wapignaji wasiopungua 13 wa waasi wameuawa katika shambulio hilo.
Mwandishi wa BBC Wyre Davies ameripoti kuwepo kwa mkanganyiko katika viunga vya Adjabiya, huku majeshi ya waasi yakirudi nyuma na kutoa taarifa za kushambuliwa na ndege za Nato.
Hili ni tukio la tatu kutokea katika siku za hivi karibuni, kuhusiana na majeshi ya kimataifa yaliyopelekwa kulinda raia wa Libya.
Waasi
Mmoja wa waasi waliyejeruhiwa
Kamanda mmoja wa waasi ameiambia BBC kuwa aliona mabomu yasiyopungua manne yakianguka katika eneo la wapiganaji wa waasi.
Watu wengi wameuawa na wengine wengi wamejeruhiwa, amesema kamanda huyo.
Raia wanaripotiwa kukimbia mji wa Adjabiya kwa maelfu, kwa mujibu wa taarifa vya mashirika mbalimbali ya habari, kufuatia tetesi kuwa majeshi ya Gaddafi yanajiandaa kushambulia jiji.
Waasi walikuwa wakipeleka mizinga, magari ya ijeshi na mabomu ya kudungua ndege katika na uwanja wa mapambano, katikati ya miji ya Adjabiya na Brega, kwenye msafara wa zaidi ya magari 30.


UHURU, MUTHAURA NA ALI KIZIMBANI

Washukiwa wengine watatu miongoni mwa wale sita wanaoshukiwa kwa kupanga na kutekeleza ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya wamefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC mjini The Hague Ijumaa alasiri.
Uhuru
Muthaura, Kenyatta na Ali

Naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa waliopanda kizimbani Ijumaa, kuipa mahakama fursa ya kuthibitisha utambulisho wao, kuhakikisha wanafahamu uhalifu wanaodaiwa kuutekeleza, na kuwaelezea haki zao kama washukiwa.
Wengine ni mkuu wa utumishi wa Umma ambaye pia ni katibu wa baraza la mawaziri Francis Muthaura, na aliyekuwa mkuu wa jeshi la Polisi nchini Kenya Hussein Ali.

Kufadhili mauaji

Mahakama ya ICC inamtuhumu Bw Kenyatta na Bw Muthaura kwa kupanga na kufadhili mauaji, ubakaji na kuhamisha watu kwa lazima katika maeneo ya Naivasha na Nakuru.
Jenerali Hussein Ali ambaye alikuwa mkuu wa Polisi anatuhumiwa kwa kukosa kuzuia makundi ya vijana wanaodaiwa kutekeleza uhalifu huo.
Siku ya Jumatano washukiwa wengine watatu walifika mbele ya mahakama hiyo.
Baada ya kikao hicho mmoja wa washukiwa, aliyekuwa waziri wa elimu ya juu William Ruto , aliwaambia waandishi wa habari kwamba ana hakika ataondokana na masaibu haya.
‘’Tutapata sasa nafasi ya kujibu uvumi na uongo ambao umeletwa katika mahakama hii , na tuko tayari kwa sababu ukweli ukidhihiri uongo utajitenga’’ , alisema Ruto.

Mahakama ya ICC

Wengine waliofika mahakamani Jumatano ni kiongozi wa chama cha Orange Democratic (ODM) Henry Kosgey na mtangazaji wa redio ya kijamii Joshua Arap Sang.
Jaji kiongozi katika kesi hiyo Ekaterina Trendafilova alitangaza kwamba siku ya kuthibitishwa kwa mashtaka ya washukiwa itakuwa Septemba tarehe moja mwaka huu.
Vile vile Bi Trendafilova alimwagiza kiongozi wa mashtaka Luis Moreno Ocampo kutangaza wazi ushahidi alionao dhidi ya washukiwa katika kikao kitakachofanyika tarehe 18 mwezi huu, kwenye mahakama ya ICC.
Hii itatoa nafasi kwa washukiwa na mawakili wao kuanza kuandaa utetezi.

Mawakili

Zaidi ya watu 1,200 waliuwawa kwenye ghasia hizo za Kenya, zilizosababishwa na ubishi kuhusu matokeo ya kura ya Urais.
Kinachodhihirika kuhusu washukiwa wanaofika mbele ya mahakama Ijumaa ni uwakilishi wa mawakili mashuhuri duniani.
Bwana Kenyatta anawakilishwa na mawakili watatu kutoka Uingereza wakiwemo Steven Kay na Gillian Higgins, ambao walikuwa watetezi katika kesi iliyomkabili Rais wa zamani wa Yugoslavia Slobodan Milosevic.
Wakili mwingine katika jopo la Bwana Kenyatta ni Benjamin Joyes.
Bwana Muthaura anawakilishwa na miongoni mwa wengine Karim Ahmed Khan, ambaye amekuwa mshauri katika mahakama zinazoshughulikia jinai za Yugoslavia na Rwanda.
Wengine katika jopo la kumwakilisha Mkuu huyo wa utumishi wa umma ni Kennedy Ogeto na Muriuki Mugambi.
Generali Hussein Ali anawakilishwa na miongoni mwa wengine Gregory Kehoe, ambaye alikuwa mshauri wa mahakama iliyomshtaki rais wa zamani wa Iraq Saddam Hussein.
Wengine ni Evans Monari na Gersham Otachi.
Bwana William Ruto pia anawakilishwa na pamoja na wengine mwanasheria mashuhuri kutoka Uingereza David Hooper, ambaye pia katika kesi nyingine anamwakilisha Germain Katanga, mmoja wa washukiwa wa uhalifu wa kivita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Wengine katika jopo lake ni Kioko Kilukumi, Kigen Katwa na Kithure Kindiki.
Bwana Henry Kosgey anawakilishwa na mwanawe Allan Kosgey, George Oraro na Julius Kemboi.
Mawakili wa Bwana Joshua Arap Sang ni ni Katwa Kigen, Joel Kimutai Bosek na Philemon Koech.
Wakati wa kikao cha kutangaza wazi ushahidi dhidi ya washukiwa tarehe 18 mwezi huu, kiongozi wa mashtaka Luis Moreno Ocampo atatakiwa kueleza idadi ya mashahidi na idadi ya taarifa za maandishi atakazotumia.

Taurus Riley Answers Sophia Squire’s Nature Call!

Taurus Riley has responded to Sophia Squire’s nature call on a sexy remix of Squire’s popular single, ‘Nature’
sophia_squire_tarrus_riley_nature.jpgThe song, produced by Bredroc Music is a smooth, sultry Reggae/Lovers Rock piece that grabs you the moment you hear it and rocks you from start to finish. Radio comes alive when “Nature” is playing and having a vibrant, talented, young and outstanding entertainer who is described as, “one of the most promising of the second generation of Jamaica roots reggae singers,” like Taurus Riley intertwine lyrics with Sophia Squire on this one is simply awesome! An almost perfect love song, one every lover should have especially if the individual intent is to set the mood for a sexy moment.
Sophia Squire released a track titled, ‘LOVE’ recently, produced by Don Corleone. The song is also getting heavy airplay and according to Manager Audley Allen, “we will be dropping at least three more singles soon.”



2 Arrested in DJ Megatron Slaying and Robbery


(NBC) Two people have been arrested for the killing of radio and television personality DJ Megatron during a robbery attempt, police said Wednesday.
Police have arrested William Williams, 21, and Richard Cromwell, 20, both of Staten Island, on charges of murder, robbery and criminal possession of a weapon.
Sources tell NBC New York that police received a Crimestoppers tip leading to the arrest of Williams, who then made a statement confessing to the murder and robbery.



SIKU JOSE MOURINHO ALIPATA MTIHANI

   KIDOSHO AKINENGUA KINOMA MBELE YAKE
 
Kijasho chembamba kilimtoka kocha wa timu ya Real Madrid ya Hispania pale alipoalikwa kwenye kipindi cha televisheni na kufanyiwa manjonjo ya kila namna na mrembo aliyekuwa amevaa nusu uchi.  

No comments:

Post a Comment