Pages

Pages

Friday, May 6, 2011

BREAKING NEWS; MSAFALA WA CHADEMA WAPATA AJARI...!!!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsTZDQrOc7N9Tm8O-j1aM4XhyVmwpMSDQGoLAnkAg2yLU1CeRrlK5g8TZMudaQ_zj_FNKB03RqqtK15Pot9K8kXGo4y7NaKfE3w6THIP-JvGfUaaokvikIEKWbx_Y6q3E9cr2CyEUfdb4/s1600/halima.jpg
Mh.halima mdee
Ajari ya gari la mbunge wa kawe halima mdee kugongwa kwa nyuma na gari iliyokua ikimfuatia  nyuma kasi baada ya roli moja kumchomekea mbele ya gari la mbunge huyo ilibidi lifunge bleki gafla na kupelekea gari la nyuma kumgonga kwa nyuma ,safari iliendelea kama kawaida baada ya kizazaa iko kumalizika mkoani iringa ambapo wabungewa chadema wanaelekea mbeya kwajili ya mkutano wa maandamano baada ya kumalizika siku 21  kupitazilizotolewa na chadema. 

No comments:

Post a Comment