Pages

Pages

Tuesday, May 24, 2011

EXCLUSIVE: HURUMA ZIMEMPONZA MH.WILLIAM LUKUVI..!!


Waziri William lukuvi ameibuka na kujibu tuhuma za ufisadi wa kujimilikisha vitalu dhidi yake kwa kudai alipewa kibali toka mamlaka husika na baada ya kuvuna mbao alizigawa.
 Awali maombi ya mbao hizo ilikuwa kaomba msaada wa kuikarabatia shule yake iliyopatwa na janga la kuteketezwa kwa moto ili ikarabatiwe upya shule hiyo lakini kutokana na huruma za waziri huyo alizigawa mbao hizo kwa watu binafsi.
"unajua mimi nina huruma sana hata ukinipa nifanye biashara ya karanga ntazigawa zote" alisema lukuvi,hata hivyo bado tunasubiri Dk.Slaa ajibu maoni ya Mh.lukuvi kuwa Dk.Slaa ni mtu wa porojo tu.



R.I.P MULA

Mula kafariki siku ya jumapili,alikuwa ni moja ya magaid sugu duniani toka el kaeda.


RABADABA JELA KWA KUMCHOMA MTU KISU

Artist Faisal Seguya aka Rabadaba ambaye amerejea hivi karibuni toka Malaysia kwenye tour iliyomuingizia mkwanja kibao na hivi karibuni Rabadaba alikua hana mahusiano mazuri na Goodlyfe Crew kwa sasa yuko jela nchini Uganda baada ya kudaiwa kujeruhi kwa kisu
Rabadaba inadaiwa alikwenda kula bata De-Posh Bar pande za Kabalagala akiwa na washikaji zake na kujikuta kwenye malumbano na mmoja wa member wa Goodlyfe Crew,Rasta Tedious na kuishia kupigana na Rabadaba alimjeruhi kwa kisu Rasta Tedious
Police waliitwa na kumkamata Rabadaba huku Rasta Tedious akikimbizwa Hospitali ya Nsambya kwa matibabu zaidi,na Rabadaba ameshikiliwa Kabalagala Police Station

No comments:

Post a Comment