Pages
▼
Pages
▼
Monday, May 9, 2011
EXCLUSIVE: MWASITI HAITAKI TENA MIDUME..!!
Msanii wa kizazi kipya anae tamba na kibao "kisa si pombe" ambainisha ya kuwa haitaji tena kidume yoyote kwa muda huu kwani muda wa kuwa na mtu huyo bado haujatimia,hii ni kutokana na kauli ya mrembo huyo kuongea mbele ya vyombo vya habari siku chache zilizipita kuwa anatafuta mchumba.
Nyeti hizi nilizinyaka leo asubuhi kwa njia ya simu wakati nabonga nae ndipo aliponidadafulia maneno hayo huku akiwa na vicheko vya hapa na pale"u know what magese nilisemaga tu ni kama neno lilinitoka lakini sina boifriend na siitaji kwa muda huu hii ni kutokana na malengo niliyojipanga".
Mwasiti alinipa bonge la saprizi kuwa tukutane pande na mida tofauti tuongee na kuchange aidia zetu nadhani itakuwa muda mzuri wa kupata mengi yakufurahisha. tabiri nini kinafata...!!
No comments:
Post a Comment