Pages

Pages

Saturday, May 28, 2011

JUSTIN BIEBER ABUNYA BATA NA DEMU WAKE WALIODAIWA KUACHANA NAE..!!

Artist Justin Bieber akiwa na  umri wa miaka 17,hivi karibuni kamera za mapaparazi ziliwabamba wakiponda raha katika pwani Maui na demu wake Gomez ambaye miezi kadhaa walilipotiwa kuachana now love is back!.
Kijana huyu hivi majuzi tu alilipotiwa kuvaa mkufu wa zaidi ya milioni 30 za kitanzania sawa na thamani ya nyumba ya mtanzania wa kawaida.



JA RULE AMDISS 50 CENT KWENYE TWITTER
Rappa Ja rule ameendelea kumdiss mkali wa kufoka 50 cent kwenye twitter,bifu hili ni la miaka kibao lakini ja rule ameonekana kutopuuzia mzozo huo na bado anatupia tu kwenye twitter jinsi anavyokerwa na 50 cent.




UFISADI:BLATTER AFUNGUKA MBELE YA FIFA

Sepp Blatter
Kujitetea Jumapili juu ya madai ya ufisadi mbele ya kamati ya maadili ya FIFA
Rais wa shirikisho la kimataifa la soka, FIFA, Sepp Blatter, itabidi kujitokeza mbele ya kamati ya shirikisho hilo inayohusika na maadili, ikiwa ni hatua ya uchunguzi wa madai kwamba maafisa wa juu wa shirikisho hilo kupokea hongo.
Blatter ameitwa na kamati hiyo pamoja na maafisa wenzake wa bodi, Jack Warner na Mohammed Bin Hammam.
Kamati hiyo itawasikiliza keshokutwa Jumapili.
Blatter ameamriwa kufika mbele ya kamati hiyo, baada ya mpinzani wake katika kuwania kiti cha urais wa FIFA, Mohamed Bin Hammam kusema kwamba Blatter anafahamu juu ya madai hayo ya kupokea mlungula katika shirikisho hilo.
Hayo yakiendelea, waziri wa michezo na olimpiki wa Uingereza, Hugh Robertson, amelitaka shirikisho la soka la FIFA kuahirisha uchaguzi wa rais wa shirikisho hilo, hadi uchunguzi wa madai hayo ya ufisadi kukamilika.
Bw Robertson amesema kutokana na madai hayo ya ufisadi, ni vigumu kwa watu kuweza kupiga kura kikamilifu.





GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL KUDHAMINI MISS KURASINI 2011
Hawa ni washiriki 14 wa shindano la kumsaka Miss Kurasini Witness Justin (22), Sintya Zuberi (19),Mwajabu Juma (19)Gift Salum (19), Lucia John (22), Prisca Steven (20), Naifat Ally (20),Naomi Ngoyi (20), Sara Said (20),Victoria Mtenga (19),Margareth Beatus (19) Radhia Mussa (20), Mary Roggers (18) na Eunice Mbya (22).




NELY KAMWELU AWA MISS UNIVERSE

Nelly kamwelu ametawazwa kuwa miss universe 2011 ambapo mshindi wa pili alikuwa  Neema Kilango na wa tatu ni yakoba Asenga

No comments:

Post a Comment