Pages

Pages

Saturday, June 4, 2011

MICHAEL ROSE NA JULIANE WAZINGUANA


Msanii Michael Ross hayuko kwenye maelewano mazuri na model toka Uganda ambaye pia ni girlfriend Juliane ambaye anaishi nchini Marekani siku chache atakua ni baby mama wake
Juliane na Michael Ross wana uhusiano japo wanaishi mbali mbali,na kwa sasa malumbano yamezifi kati yao na Inasemekana kuwa Juliane amekasirika baada ya Michael Ross kuvujisha siri kwa kuongea kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ana ujauzito
Na kwa sasa inasemekana kuwa Juliane ametafuta kazi nyingine kwenye Hoteli ya Hilton Harrisburg,ili tu awe busy na asipate time ya kufikiria uhusiano wake wake ulio kwenye beef za hapa na pale.


Rais wa Yemen hajulikani aliko

Waziri Mdogo wa habari wa Yemen amekanusha ripoti kuwa Rais Saleh ameondoka nchini, baada ya kujeruhiwa jana katika shambulio la kombora dhidi ya ikulu, katika mapigano baina ya jeshi la rais na watu wa makabila yanayompinga.
Ulinzi nje ya ikulu ya Yemen, ambayo ilishambuliwa Ijumaa

Baada ya kujeruhiwa jana, Rais Saleh alizungumza kusema kuwa ni mzima, lakini kuna tetesi nyingi nchini Yemen, kuhusu hali yake.
Shirika la habari la taifa limearifu kuwa maafisa kadha ambao walijeruhiwa pamoja na Rais Saleh, wamepelekwa Saudi Arabia kwa matibabu.
Marekani imelaani ghasia hizo na imetaka pande zote mbili zikabidhiane madaraka kwa amani.

No comments:

Post a Comment