Pages

Pages

Saturday, June 25, 2011

SEAN KINGSTON ATOLEWA HOSPITALI


Artist toka Jamaica,Sean Kingston kuwa ameshatoka hospitali,na kwa sasa amerudi home sweet home
Sean Kingston alikaa kwa wiki 3 hospitali ya Jackson Memorial na Kingston alifunguka kwenye tweeter na kutupia picha yake akionesha peace na kumshukuru mungu kwa kutoka hospitali toka alipolazwa May 29,201 alipopata ajali pande za Miami Beach akiwa na mdada Cassandra Sanchez


WATOTO WA MICHAEL JACKSON....WAPATA ZAWADI....!

MICHAEL JACKSON
Kesho Jumamosi ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha The King of Pop,Michael Joseph Jackson aliyetimiza miaka 2 lakini imekua ni siku muhimu sana kwa watoto wake wawili baada ya kupokea piki piki zilizozotolewa kwa heshima ya baba yao

Prince Michael,Paris na Prince Michael II watasubiri wasubiri wakue ili waendeshe piki piki hizo zilizokua na picha ya baba yao akiwa kwenye pozi kadhaa

Michael Jackson alifariki June 25,2009 na daktari wake binafsi Conrad Murray,aliingia matatazoni baada ya kifo hicho kwa uzembe na hukumu yake inatarajiwa kutolewa September 8,2011

No comments:

Post a Comment