Florah ni model mpya katika ulimwengu wa mitindo.
Superman Magese akiwa na mgogo wake Frolah a.k.a florah model katika picha ya pozi pande za fukweni.
Nice weekend ma pipooooo..!!
VIBWEKA VILIVYOJILI KATIKA REDDS MISS IIALA 2011
Michael Jackson nae alikuwepo.Mhhh. mtu mzima Edwin nae hakukosa mapya na mrembo.
Best anakula nini hapa?...kwa maria wa twanga pepeta
Maria akijiachia na tatuu kiunoni mbele ya kamera ya uniqueentertz blog.
Wacha wee.. ni mapozi tu hayo.