Pages

Pages

Saturday, July 23, 2011

EXCLUSIVE:KRISTEN STEWART NA ROBERT PATTINSON WAFANYA KWELI KITANDANI


If it is not already over way 100 degrees outside, this scene right here will definitely bring it to that level.
This hot and steamy scene of Kristen Stewart and Robert PattinsonTrue Blood! having vampire sex is almost as hot as
The Breaking Dawn stars are set to make that passionate love that everyone has been waiting for.
According to the stars, there is going to be even more hot and steaminess than the book says there is. Let’s talk about sex, baby!
Watch the steamy clip of the two in the upcoming Twilight saga, Breaking Dawn below.





LOVENESS FLAVIAN AWA MSHINDI WA KANDA YA MASHARIKI
Mshindi wa Vodacom Miss Eastern Zone 2011, Loveness Flavian (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Asha Saleh (kushoto) na Mariaclara Mathayo aliyeshika nafasi ya tatu.
 Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakifungua shindano lao kwa kucheza show usiku huu wa Julai 22,2011 katika Hoteli ya Oasis mjini Morogoro.
Warembo wakijinadi jukwaani kwa vazi la ufukweni. Jumla ya warembo 11 wanawania taji la Miss Kanda ya Mashariki usiku huu.
Furaha na nderemo pale Loveness alipotajwa kuwa ndie mshinde alilia kwa furaha na hakuamini alicho kisikia.
Ni Miss Eastern Zone Flora Florence aliyemaliza muda wake akimvisha taji Loveness Flavian.
 Warembo walioingia hatua ya 5 bora ya Miss Kanda ya Mashariki. Kutoka Kulia ni
Ritha Kavishe, Rahma Swai, Mariaclara Mathayo, Loveness Flavian na  Asha Saleh
washiriki wa Miss Kanda ya Mashariki.




WABAMBWA WAKILA NDIMI KWENYE TRENI
New York City has been experiencing a heatwave like never before, so when people flip their lid it's expected. But what recently occured on a New York City train was disgraceful.
On a New York City L train, a heated debate between two straphangers turned ugly when a fight over a seat left a baby stroller rolling out the doors of a subway car ― with the baby still inside!




POLISI WAKAMATA RISASI NA MABOMU KIGOMA
Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na Maafisa wa JWTZ jana walifanikiwa kulipua mabomu manane na yaliyogundulika kufichwa kwenye kichaka kimoja karibu na Kambi ya wakimbizi wa Burundi ya Mtabila wilayani Kasulu mkoani humo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma ACP Fraisser Kashai, amesema kuwa mabomu saba kati ya hayo yamegunduliwa na watoto waliokuwa wakichuma matunda katika eneo hilo na baadaye kutoa taarifa kwa uongozi wa eneo hilo na kuwajulisha Polisi wa operesheni na lingine liligundulika katika eneo la bandari ya Kigoma mjini.
Kamanda Kashai amesema kuwa baada ya Polisi kupata taarifa za kuwepo kwa mabomu hayo ambayo yalikuwa yamefichwa kichakani, walifika katika eneo hilo na kubaini kuwa mabomu hayo yalikua hayajalipuka.
Aidha Kamanda amesema kuwa Polisi walipofika katika eneo hilo pia waligundua risari 48 zinazotoa mwanga ambazo zinatumiwa na askari walipo katika mapigano kwenye uwanja wa vita.
Amesema baada ya kubaini hayo yote, Askari hao waliwasiliana na Uongozi wa Polisi Mkoa Kigoma ambapo nao walichukua hatua ya kuwajulisha wenzetu wa Jeshi la Wananchi na kupatiwa wataalamu wa milipuko na kuongozana na Polisi hadi katika eneo la tukio.
Amesema walipofika Maafisa hao walifanya uchunguzi wa kujua aina na uwezo wa mabomu hayo na baadaye kuyalipua kitaalamu na kuepusha madhara.
Kamanda huyo amesema kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani humo, vinaamini kuwa kama mabomu hayo yangelipuka yangeweza kuleta hatari kubwa ikiwa ni pamoja na kuhatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo wakiwemo watoto.
Kwani amesemakuwa kama mabomu hayo yangechezewa ama kukanyagwa kwa bahati mbaya yangeweza kulipuka na kuleta madhara makubwa kwa wananchi.
Amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kufanya uchunguzi kujua waliohusika na uwekaji wa mabomo pamoja na sisari hizo ili kuwachukulia hatua za kisheria.
Hata hivyo Kamanda Kashai amesema kuwa Vyombo vya Ulinnzi na Usalama mkoani humo kwa pamoja, vimewapongeza wananchi waliotoa taarifa hiyo na kuwaomba wengine kuioga mfano huo kama hatua ya kunusuru maisha ya wananchi wetu kuepuka madhara ya milipuko.
Amewahakikishia wananchi wa eneo hilo na mkoa mzima wakiwemo wakimbiizi kuwa eneo lililogundulika mabomu hayo hivi sasa ni salama na waendelee na shughuli zao kama kawaida na kutosita kutoa taarifa pale wanapobaini kitu wanachokitilia mashaka ili kichukuliwe hatua.
 

RIHANNA NA KATY PERRY WANAMCHEZO MCHAFU

 Through she is up for nine moonmen at the end of August, Katy isn't the happiest camper. The popstar is feeling a bit of nostalgic remorse as she leaves her nomination-snubbed homegirls behind. KP expressed that she missed Rihanna and other pop mamas on her Twitter yesterday.
"I do miss my RiRi, (s&m) Swifty, (back to dec) Kesha (blow) & Robyn (every vid!) Jessie J, (pricetag) in the/any categories ohmanitstough."
Aw, we feel the sisterly love. Guess Katy will have to find another hottie to kiss this year.



MLIPUKO WAUWA 7 NORWAY

Waliojeruhiwa katika mlipuko Norway
Waliojeruhiwa katika mlipuko Norway
Taarifa zasema watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye mlipuko uliotokea OSLO nchini Norway.
Inaaminiwa kuwa kuna Uhusiano wa moja kwa moja kati ya shambulio hilo na tukio la mtu aliyefyatua risasi katika kambi ya vijana inayoondeshwa na chama tawala cha Leba huko kaskazini magharibi mwa Norway ambapo watu wasiopungua wanne wamejeruhiwa.
Mlipuko huo mkubwa umebomoa majengo ya serikali katika mji mkuu wa Norway, Oslo.
Waziri Mkuu Jens Stoltenberg, ambaye ofisi zake zimeharibiwa vibaya, alieleza hali hiyo kama “nyeti mno”, na polisi imemshauri Waziri Mkuu asiseme yuko wapi.
Maafisa wamesema baadhi ya watu bado wako ndani ya majengo yaliobomoka, baadhi yake yakiwa yanawaka moto.Hakuna aliyedai kuhusika na shambulio hilo.

No comments:

Post a Comment