Pages

Pages

Thursday, July 21, 2011

KUMEKUCHA VODACOM MISS KANDA YA MASHARIKI VIPAJI

Mmoja wa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss kanda ya mashariki akipita na vazi la ubunifu katika siku ya kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.
Warembo tano bora wa Vodacom Miss kanda ya Mashariki walioingia katika kinyanganyiro cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akiwapa mkono wa pongezi warembo tano bora wa Vodacom miss kanda ya Mashariki walioingia katika kinyanganyiro cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge



CHAMELEONE AONYESHA URAFI WAKE!
Artist Jose Chameleone toka Uganda aliwaacha watu hoi baada ya kuonesha talent yake nyingine kwa kupeleka pwani msosi wa nguvu uliojaa sahani.

Kulikua kuna sherehe pande za Masaka na fans wake wakamkaribisha lakini walishangaa baada ya Chameleone kujaza pilau na viazi kwenye sahani kama wanakula mtu 3 na kufuta msosi wote....
Fans na wadau waliokuwepo walishangaa kipaji kipya cha Chameleone cha kula,ila kilichowatia mashaka ni inakuaje anakula kupita kiasi lakini hana mwili...?



DAVID JAIRO AFUKUZWA KAZI
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, amesimamishwa kazi rsmi leo kufuatia kutangazwa rasmi habari hizo na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemo Luhanjo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo mchana. 




RIHANNA AMSHIKA MAMA YAKE PABAYA

Rihanna is known to grab other women's breasts ... and this is time it was her MOM!!! Her grandmother was also there, as an innocent bystander.
The next day, Rihanna was spotted carrying a large Fendi bag as she walking into a building for a sexy photoshoot. No details on what the shoot was for, but Rihanna did stop by her label and she's waiting for the fall to do big things.
The "Only Girl In The World" singer tweeted, "#DefJam I just left the building!! Great shit RihannaNavy!! Grreaat shit! Can't WAIT for this fall."

No comments:

Post a Comment