Pages

Pages

Friday, July 8, 2011

NICE WEEKEND NA WATU WANGU WA MOBONYEZO

Is This Broad More Bangin Than Beyonce??




AMBER ROSE NA WIZZY KHARIFAH KUVISHANA PETE KWA STAILI HII
Kila demu hupenda kuvishwa pete tatizo ni kutilia katika penzi hilo.



 


REDSS MISS TEMEKE WAJIRUSHA UFUKWENI
 Katika kusheherekea siku kuu ya Sabasaba 2011, warembo wa REDDS MISS TEMEKE walikwenda kubarizz katika ufukwe huko Kigamboni jijini Dar es Salaam. Na hapa wanaonekjana warembo hao wakiwa katika picha mbalimbali za burudani huko Kigamboni.
 Hapa nadhani ni kiduku kilikuwa kinachezwa...
 Huyu aliingia kati na kukatika vilivyo...
 Mduara nao ulikuwepo....



WAREMBO WA VODACOM MISS HIGHER LEARNING
Mmoja wa warembo wa Vodacom Miss Higherlearning akimuualiza Meneja wa Vodashop Mlimani City Bi. Fatma Kalyanye swali juu ya huduma zinazoedeshwa na vodashop pindi walipozuru Makao makuu ya Kampuni hiyo jana.
Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Najenjwa Mbaga akisalimiana na warembo wa Vodacom miss higherlearning walipozuru makao makuu ya kampuni hiyo jana wakiwa safarini kuelekea mjini Dodoma katika fainali za shindano lao litakalofanyika mwishoni mwa wiki.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha huduma kwa wateja Bw. Hiramu Mungai akitoa ufafanuzi wa jinsi ya kutoa huduma kwa wateja kwa Warembo wa Vodacom Miss higherlearning waliokuwa katika ziara ya kutembelea makao makuu ya kampuni hiyo jana.
Baadhi ya Warembo wa Vodacom Miss Higher learning wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea Makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es salaam.
Meneja wa Vodashop Mlimani city Fatma Kalyanye akiwaelekeza warembo wa Vodacom Miss higher learning waliozuru duka hilo namna ya kuweka nyaraka za kudumu za wateja wao wa M-pesa, warembo hao walitembelea makao makuu ya kampuni hiyo ikiwa ni moja ya hatua za kuelekea kilele cha shindano lao liatakalofanyika mwishoni mwa wiki mjini dodoma.

No comments:

Post a Comment