Pages

Pages

Saturday, August 13, 2011

LIGHTNESS: MODEL WA KWANZA KUINGIA UNIQUE TZ TEAM

lightness ni model,muigizaji na muimbaji anafanya kazi za mitindo kwa ujumla,wasiliana na Unique Tz blog unapotaka kufanya kazi na model huyu.


EXECUTIVE MARKETING MANAGER MPYA
WENSLEY MATIUS MABULA
Menejementi nzima ya WAJANJA BLOG inayo furaha kubwa kuwataarifu kuwa Wensley Matius Mabula (Pichani)  ndiye mwajiliwa wetu mpya kwenye nafasi ya EXECUTIVE MARKETING MANAGER wa BLOG hii na PRANAYO COMPANY LTD kwa ujumla wake. 


 
MISS TANZANIA WALIPOTEMBELEA MIKUMI JANA
Warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa katika bwawa la Viboko lililopo katika Hifadhi ya Wanyama pori Mikumi mkoani Morogoro jana
 Warembo wakikamilisha taratibu za kupata vyumba.
Mount Usambara Lodge  usiku waliwaandalia warembo wa Vodacom Miss Tanzania disco kabambe la nguvu.


KERI HILSON:LADY IN STREETS & FREEK IN THE SHEETS
   Every since Keri Hilson released her video for “The Way You Love Me” a few months ago, people have been wondering if she’s a lady in the streets and a freak in the sheets.
   She recently sat down with Fader TV and candidly talked about what it means to be a freak, as well as women being able to take control by owning themselves and sexuality.

No comments:

Post a Comment