Pages

Pages

Tuesday, August 2, 2011

SILVIA SHALLY: SIJAONA MREMBO WA KUNIFUNIKA MWAKA HUU,BADO NATISHA..!!

 Wadau..nipo fiti kila idara..!
 Silvia shally akiwa na mbunifu mashuhurri tanzania Bi Asia Idarus.
 Silvia akiwa na warembo walioshiriki Redd's miss Ilala 2010 katika pozi tofauti.
Ya kale dhahabu tu..silvia umetishaaaaaa..!!
 Masharobaro wa hapa jijini nao wakiuza sura.
 Mshiriki wa Miss ilala mwaka jana(kushoto)akiwa na miss Temeke wa mwaka huu(wa pili kushoto)wakiweka pozi na marafiki zao mbele ya kamera yetu.
Wauzaji toka bendi ya twanga pepeta wakiuza sura mbele ya kamera ya uniqueentertz blog



WANAFUNZI WAFANYIA MITIHANI KWENYE UWANJA WA MPIRA MOROGORO
Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Bungo ya mkoani Morogoro,akisimamia mtihani leo asubuhi.Wanafunzi wakiendelea na mtihani huo.
wengine wakitafakari na kufikili kwa umakini
KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Bungo ya mkoani Morogoro, leo asubuhi walinaswa na mtandao huu wakiwa wametapakaa kwenye uwanja wa mpira wakifanya mtihani huku wakiwa chini ya uangalizi mkali wa mwalimu wao.



RIHANNA AWA RED HOT HUKO FESTIVE ATIRRE
Looks like Rihanna is happy to be home!
The Barbados-bred singer got all dressed up in festive attire today for the Kadooment Day Parade in Barbados.
The singer looked super sexy in a red and gold festive bikini with matching red fishnets. She looked to be having the time of her life as she danced on a float and enjoyed some Barbadian rum. She even backed it up on a local reveler! 
The singer is gearing up for her big concert in her hometown at the Kensington Cricket Oval on Friday. She has been enjoying her downtime by spending time with her family and even taking them shopping.




BREAKING NEW:RAMSEY NOAH ADONDOKA GHOROFANI
Ramsey Noah amenusurika kifo baada ya kuanguka toka ghorofani wakati ana shoot movie mpya akiwa nchini Ghana.
Ramsey alikua on set na actors Nana Ama McBrown,Beverly Afaglo,Roslyn Ngissah,Nana Hayford wakiwa wnajiandaa Hotel Babylon,Where Clothes Are Naked chini ya directer Kobi Rana,Na alianguka toka kwenye ghorofa na inasemekana Ramsey ameumia kwa ndani kitaalamu wanaita internal bleeding baada ya kulalamika maumivu ya tumbo huku akitoka damu mdomoni na kupewa huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa hospitali jijini Accra.
Ramsey alishawahi kupata ajali ya pikipiki mwaka 2007 na ajali hiyo na ameweka jino la bandia.


TOP PIC OF A DAY

Bria na Natalie
  Wanawake hutabasamu zaidi ya wanaume..habari ndiyo

No comments:

Post a Comment