Pages

Pages

Saturday, August 27, 2011

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WAJIACHIA KWENYE MICHEZO


Issa Mnari kwa msosi nomaaa!!
kamati ya Miss Tanzania iipata misosi.
     Mroki nae yumo aiseee tonge nyama..tonge nyama..
                         Salha akitizama kamera wakati wa kupata misosi na warembo.

Jennifer kakolaki akibugia ubwabwa kimapozi.
Swaiba Mroki huku coka huku sprite mkononi nyama teh.. teh !!

 Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 leo walikutana na kushiriki michezo ya aina mbalimbali na hapa nawaletea baadhi ya michezo hiyo ukiwepo wa kuogelea. Hawa walionesha kushinda lakini baade walivutwa.
 upande wa pili mambo yalikuwa hivi na timu hii iliibuka washindi. Licha ya kamba kukatika mara mbili.
 furaha ya ushindi kwa timu ya wavuta kamba. 
 Warembo wa Vodacom walifungua dimba na kati ya timu za M Pesa na Voda Jamaa.
 Hashimu Lundenga nae alishiriki katika soka na hapa akifanya vitu vyake.

No comments:

Post a Comment