Pages

Pages

Wednesday, September 28, 2011

NAGRIS MOHAMED APATA DUME..NI BAADA YA KUSWAMPA NA ZALI LA MENTALI


Nargis Mohamed Jiwa (kushoto), akilishana keki kwa staili DENDA na mume wake mpendwa Idd Issa Suleiman Romore, katika Ukumbi wa Stallion Kawe Over kado jijini Dar es Salaam.Hapa Nargis na mumewe wakinyweshana 'Shampeni' ikiwa kama ishara ya ufunguzi wa vinywaji ukumbini hapo.
 Nargis na mmewe wakiteta jambo na mmoja wa wanakamati wa sherehe hiyo.... akimsaidia 'kusevu' chakula mumewe.Msanii wa Filamu Bongo Sintah (kulia), akiwa kwenye pozi na maharusi hao, anaemfuatia ni Mboni Masimba na rafiki yao wa kwanza kushoto.Mmoja wa watoto waliokuwa wakimwaga maua katika sherehe hiyo akiwa katika pozi na mama yake muda wa msosi.Mambo ya msosi yalikuwa hivi mahari hapo. prakata Katumba!!!..tumbaa..tumbaaHakunaga zaidi yako mi..na weee...hakunagaaa..    Cheers...     ukutiiii..ukutiii..ndiaba nawe..Maharusi wakiwa katika pozi na watoto waliokuwa wakimwaga maua Wakati maharusi hao wakiingia ukumbini.Sintah, Mboni na rafiki yao katika pozi.Sintah, akiwa katika pozi na Jacqueline Patrick.Sintah umefia wapi shostitoo...Salma Msangi (wa pili kulia), akitoka kupakuwa msosi.Jack nae hakuwa nyuma kujiandalia msosi mahari hapo.Watu walipozi kwa utulivu kama inavyoonekana.
 Mdoa ya kihistoria ya Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed Jiwa aliyofunga na mfanyakazi wa benki moja maarufu jijini Dar es Salaam, Idd Issa Suleiman Romore, imevunja rekodi kufuatia mambo makubwa yalijitokeza katika shughuli hiyo.
Sherehe hiyo iliyoshuhudiwa na  hatua kwa hatua ilichukua nafasi mwishoni mwa wiki iliyopita Septemba 24, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa The Stallion uliopo Kawe, Dar es Salaam ambapo ilihudhuriwa na waalikwa.
 Nargis aliyeuza nyago kwenye Filamu ya Yellow Banana alionekana kuchangamka kupita maelezo na ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuonekana ‘beneti’ na mumewe huyo.
Baadhi ya mastaa hao ni pamoja na muigizaji Christina Manongi ‘Sintah’ modo Jacqueline Patrick, watangazaji Salima Msangi, Sakina Lyoka na Miss Mbeya wa miaka ya nyuma, Mboni Masimba.


PAKA ASURUBIWA MSALABANI
 
Vitendo hivi vya kikatili kwa wanyama vimekuwa vikiendelea mara kwa mara hasa katika maeneo ambayo yana mrundikano wa makazi ya watu, na hata vingine vikionyeshwa kwenye luninga zetu lakini wahusika wa haki za wanyama wakivitazama tu vikiendelea bila kuvikemea wala kuwachukulia hatua wale wote wanaoshiriki kufanya vitendo hivi. Kwa mataifa ya wenzetu ni lazima upate hukumu ya kifungo kwa kufanya vitendo hivi.


DUNIA IMEKWISHA MOKOZI UJE SASA..!!

When the news broke earlier today that L-Word actress Leisha Hailey was kicked off a Southwest Airlines flight for kissing her partner, we were a bit taken aback.
What’s wrong with a little PDA between two people that are sharing a loving moment?

No comments:

Post a Comment