Pages

Pages

Monday, October 31, 2011

FLORAH JOSEPH MREMBO MWENYE NDOTO LUKUKI

 Florah Joseph akiwa katika pozi tofauti na camera ya UNIQUEENTERTZ BLOG mwishoni mwa wiki hii.
African galz...ni warembo bhanaaa..!!
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
  Flora Joseph nimrembo anaesomea diploma ya Marketung Management ana umri wa miaka 20 tu lakini ana sifa za kuitwa mrembo.
  Anapendelea kuchati na washkaji zake,kuangalia TV na kuogelea, hapendi umbea na unafiki,rangi azipendazo ni zambarau na nyeupe.
   Matarajio yake ni kuwa mwanauchumi pengine ni kutokana na kabila lake kuwa Mpale na makazi yake ya kudumu ni Arusha japo kuwa sasa anaishi Dar.
  Flora yupo ndani ya mahusiano na boyfriend wake ambapo anasema jamaa huyo ni nguzo katika maisha yake na chakula akipendacho ni wali maini.

SAFARI YA MISS VODACOM TANZANIA 2011 KUELEKEA FAINALI ZA MREMBO WA DUNIA

Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.

Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.
Miss Vodacom Tanzia 2011 Salha Israel aliye vaa Nguo za Njano katika Mazoezi ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World Tanzania.
Huu ndiyo uzuri na mvuto wa mrembo wetu wa Taifa la Tanzania 2011,Salha israel akiwa katika pozi la beach wear... SHE IS SEXY SIETI WADAU..??

Sunday, October 30, 2011

FATMA MGANGA MREMBO ANAEKUJA JUU KWA KASI

Fatma mganga akiwa katika pozi tofauti mbele ya camera ya UNIQUEENTERTZ blog
 
 
Mapozi uniq uniq...
Hapo je...!!..Tishaaa..
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 She is pretty...sexy ..hot...wow!!
 
 Mrembo Fatma.A.Mganga ni mrembo mwenye haiba ya kibantu ana umri wa miaka 21 tu anasoma shahada "human resourcesmanagement".Hobi yake ni kucheza Vollyball ,muziki na kuangalia mchezo wa cricket,tambi na maini ndicho chakula akipendacho.
 Fatma ni mtoto wa kidigo aishie sinza na yupo ndani ya mahusiano na mtu wake special.Mrembo huyu mwenye maringo hapendi umbea na mambo yasiyo na msingi katika maisha.Rangi aipendayo ni nyeusi, nyeupe na udongo.
   Matarajio yake ya baadae ni kuwa mjasiliamali .