Pages

Pages

Sunday, October 30, 2011

FATMA MGANGA MREMBO ANAEKUJA JUU KWA KASI

Fatma mganga akiwa katika pozi tofauti mbele ya camera ya UNIQUEENTERTZ blog
 
 
Mapozi uniq uniq...
Hapo je...!!..Tishaaa..
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 She is pretty...sexy ..hot...wow!!
 
 Mrembo Fatma.A.Mganga ni mrembo mwenye haiba ya kibantu ana umri wa miaka 21 tu anasoma shahada "human resourcesmanagement".Hobi yake ni kucheza Vollyball ,muziki na kuangalia mchezo wa cricket,tambi na maini ndicho chakula akipendacho.
 Fatma ni mtoto wa kidigo aishie sinza na yupo ndani ya mahusiano na mtu wake special.Mrembo huyu mwenye maringo hapendi umbea na mambo yasiyo na msingi katika maisha.Rangi aipendayo ni nyeusi, nyeupe na udongo.
   Matarajio yake ya baadae ni kuwa mjasiliamali .

No comments:

Post a Comment