Pages

Pages

Wednesday, October 26, 2011

HIVI NDIVYO AJALI YA BASI LA DELUX ILIVYOTOKEA JANA


Wananchi na polisi wakiangalia mabaki ya basi hilo baada ya kuteketea kabisa kwa moto.
Mmoja wa watu waliokuwa wakitoa mabaki ya miili ya watu walioteketea kwa moto akiendelea na zoezi la kuangalia iwapo kama kuna masalia yeyote.
Basi liliteketeakabisa na mabaki ya miili ya watu ililazimu kukusanywa kwa beleshi.
SALHA ISRAEL AONYESHA KIPAJI MISS WORLD 2011
Miss Tanzania 2011, Salha Izraeli (track ya pink) akiwa katika picha mbalimbali wakati wa fainali za kumsaka mrembo mwenye kipaji cha michezo ndani ya Kambi ya Miss World jijini London Uingereza. 


No comments:

Post a Comment