Pages

Pages

Saturday, October 8, 2011

LULU ALIBUTUA BIFU LAKE NA ISABELA


     Lulu.
The hot gal in town Elizabeth Michael  a.k.a Lulu amefunguka na kujibu mapigo  kwa kulonga na blogu hii kwa simu kuwa Msanii chipukizi wa kuigiza Isabela a.k.a Vai wa ukweli anataka umarufu kwa kupitia jina la Lulu hivyo amemtaka kutomlinganisga na yeye.
  Isabela
"MI niko staa,hot na sexy zaidi yake so asitafute jina kupitia umaarufu wangu,she is too underground....mi niko juu na Tanzania inajua" Lulu alibwata kwa kumix na kimombo kuonyesha hakusoma chini ya mwembe.
Awali alifura kwa kulinganishwa na Lulu kwa kudai eti Lulu ni kamdoli flani so hapendi kulinganishwa nae ijapokuwa ujio wake umekuwa wa matukio kama Lulu ndipo watu wakalinganisha na matendo ya Staa Lulu.
  "Sina time ya kueka bifu na takataka bombay namzidi kila idara isitoshe nna pesa kuliko yeye,,actual...sitembelei daladala kama yeye so look at dat different betwen me and that street gal" Lulu alikomelea msumari wa mwisho kwa kidosho huyo.
   Mwisho wa mahojiano yetu mimi na yeye nikamuuliza je anampenzi akajibu ndiyo, nikamwambia sababu wewe ni star kama wema mtaje na wa kwako tumjue,Lulu alikosa cha kuzungumza zaidi alicheka mpaka simu ikakatika hakusubutu kumtaja kwa hofu ya kuharibu ATM za pembeni.


RUNGU LA NHC LATUA WIZARA YA HABARI
OPERESHENI ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ya kuwafukuza katika nyumba zake wapangaji sugu jana ilibisha hodi katika Wizara ya Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo baada ya Idara zake za Habari (Maelezo) na Utamaduni kutupiwa nje virago zikidaiwa jumla ya Sh391 milioni. Deni hilo linaelezwa kuwa ni malimbikizo ya kodi ya pango kwa muda wa miaka mitatu mfulululizo. Mchakato wa idara hizo kufukuzwa katika majengo ya NHC ulianza saa 3.00 asubuhi ukiongozwa na kampuni za udalali ya Mzizima Action Mart and Bedt Collect Ltd. Baada ya kufika katika ofisi hizo walikwenda moja kwa moja katika ofisi za uongozi na kueleza kusudio lao.Bila kuchelewa wafanyakazi hao ambao walionekana dhahiri kujua walichokifuata, walianza kutoa kifaa kimoja baada ya kingine nje zikiwamo meza, viti, kompyuta, seti za televisheni na makabrasha mengine. 


CABO SNOOP ANA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MREMBO HUYO
  Msanii toka Angola ambae awali alikwa dancer wa kundi la Crazy boyz ambapo sasa ni muimbaji na anatamba na kibao chake cha Prakata e'tumba yuko jijini Dar kwaajili ya onyesho jumapili hiii.
http://faraitoday.com/wp-content/uploads/2010/11/CABO_SNOOP_9.jpg
   Cabo snoop ameiambia blogu hii kuwa ana uhusiano wa kiampenzi na Miss Rwanda 2010 Grace Bahati,"nampenda sana " aliongea kikwao na ktafsiliwa na na meneja wake Big Papa ambapo aliambatana Dj wake Dj Millionaire.
rwanda
  so mabinti wa kibongo msitoe sana macho kwani jamaa alikataa kabisa kuzungumzia mademu wengine zaidi ya mpenzi wake Grace.




 KELLY ROWWLAND ACHUMBIWA NA ROI WILLIAMS
Kelly Rowland looks GREAT
Nicki Minaj and Rihanna aren’t the only ones snatching up Cosmopolitan Magazine covers this year. Kelly Rowland shows off her amazing abs as she graces the cover of the November Issue of UK Cosmo. Inside, she gets very personal as she talks about her engagement to NFL player Roy Williams, her decision to get a boob job and her current relationship with her estranged father who recently reached out to her through a UK Tabloid in an attempt to get back into her life. 



Ni mchana majira ya saa saba na dakika 45 wanafunzi wa moja ya shule kata ya Isangijo Wilayani Meatu wakitoka kuteka maji umbali wa kilometa tano kwaajili ya matumizi kwa nyumba ya mwalimu.


PINK NA MWANAE MJI MZIMA

Singer Pink and husband Carey Hart took a romantic stroll in New York City yesterday with their new baby Willow Sage.
The happy couple looked adorable and comfortable rockin' some sweats and shades.
Even though she has taken on her mommy duties, Pink was in NYC to be on set for a new movie called Thanks for Sharing, playing the role of a sex-addict!

No comments:

Post a Comment