Pages

Pages

Thursday, October 6, 2011

LULU HANIWEZI KIMAPENZI-ISABELA

 Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi Isabela a.k.a Vai wa ukweli amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo Elizabeth a.k.a Lulu,"am next level Lulu haniwezi hata kimapenzi niko juu.
"Najua sana mapenzi kuliko kuigiza so najivunia kuwa na vipaji vingi kadri siku zinavyokuja ntaviweka hadharani" alitamba isabela.
  Wadodosaji wa habari za kichokonozi wanadai kuwa Pamoja na umahili wa Lulu kuwa na wanaume tofautitofauti aliwahi kuzima kipisi pindi alipokutana kimaungo na msanii wa Hip hop wa siku nyingi na aliewahi kutangaza katika kituo cha televisheni ya vijana,wanyetishaji wanadai Msanii huyo ana bonge la dudee ambapo binti huyo hakutaka kurudi kwa msanii huyo tena.
  vai wa ukweli akijishedua kwa ishala,watu wazima mtaelewa nini anachoongea kwa ishala binti huyu ambae ambae amevamia sanaa ya uigizaji kwa maskendo mazito.wachambuzi wa habari hii watamtafuta Lulu nae tuone anasemaje kuhusu hili,siunamjua Lulu  mama kubwatuka....   STAY TUNED.


                                              UZURI SI BAHATI SOMETYMZ
Mua kimambo ni Miss TAabora 2011,pamoja na uzuri alokuwa nao hakufukuta katika mtanange wa fainali za Miss Tanzania jampo kimofoloji alikuwa akiwazidi wengi,sio siri demu huyu ni mkali na watu wengi walimtizamia kufanya vema katika tasnia ya urembo kinyume na hapo mmrembo huyu alijikuta akiangukia pua.uzurri si bahati jaribu mwakani.http://www.uniqueentertz.blogspot.com/

MWASISI WA APPLE AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 56

Today, Apple Co-Founder and Chairman Steve Jobs passed away after a long battle with cancer.  He was 56
The innovator in technology had battled pancreatic cancer since 2004 and received a liver transplant in 2009. He held his post as CEO of Apple until January when he stepped down citing medical issues with no set date of return.  In his lifetime, not only did Jobs help make Apple one of the largest and most successful technology corporations in the world, launching initiates like the iTunes store, he also helped Pixar become a viable production company before he sold it to Disney.


ANAELEWA NINI KUHUSU MSWADA WA KATIBA MPYA?
Huyu ni kati ya wanake aliyekutwa katika Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma akipika ugali wa mahindi kwa mtindi wa wa kutumia mafiga matatu,kutumia kuni ambazo zinatoa moshi mwingi kwa mama huyu. Katika karne hii ya 21 ambayo inasisitiza maendeleo katika teknolojia Je? huu ni uungwana kweli? au Je una maoni gani katika hali hii?

No comments:

Post a Comment