Pages

Pages

Tuesday, October 25, 2011

NDOA YA CHRISTIAN MILLAN NA THE DREAM VIPANDEVIPANDE


Ni Baada ya kupita zaidi ya mwaka ya kuripotiwa kupeana talaka kutemana Celebz Atrist,Terius Youngdell Nash aka The Dream na recording artist,actress,dancer na model,Christine MariƩ Flores aka Christina Milian kwa sasa wametengana rasmi.
Kabla ya hapo The drea aliwahi kuwa katika mahusiano ya kindoa na mwanamuziki Nivea kisha wakamwagana.

Jaji wa Mahakama ya Fulton County,Ga. alimaliza utata wa makaratasi ya talaka yaliwasilishwa pande hizo,na kufunguka kuwa kwa sasa kila mtu yuko single na kuivunja rasmi ndoa ya the dream na Christina Milian iliyofungwa jijini Las Vegas,September 2009.Na mwezi July 2010,The-Dream alifunguka kuwa yeye na Christina Milian walitengana miezi 3 tu baada ya ndoakufungwa.

MHASIBU MKUU DELMORE COMPANY - AFRICA DENIS FULGENCE AUAGA UKAPERA.

Maharusi wakiingia Ukumbini kwa kwa furaha na Stail ya aina yake.

Bwana na Bibi Denis Fulgence wakiwa katika pozi la kipicha zaidi.
Bi Harusi Ajimbo Fulgence akiwaongoza wageni waalikwa kwenda kwenye kuchukua chakula kilichoandaliwa na wataalam wa upichi wa Bufee ndani ya Ukumbi wa Beach Komba. 


SALHA ISRAEL NDANI YA MISS WORLD'S CAMP

Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (nguo za njano) akifanya mazoezi ya viungo pamoja na washiriki wenzake waShindano la Urembo la Dunia katika kambi yao jijini London Uingereza. 

Katika Hatua nyingine waandaki wa shindano hilo
Leo kamati ya Shindano la Miss World 2011 wametangaza majina ya warembo ambao wanaingia katika hatua ya nusu fainali ya katika kundi la Mrembo mwenye kipaji na Mrembo mwenye kipaji cha Michezo katika fainali za mwaka huu za dunia.

For Sports
Group 1: Bonaire, Australia, Bahamas, Canada, Chile, Bolivia
Group 2: Czech Republic, Guatemala, Dominican Republic, Denmark, Hungary, Botswana
Group 3: Panama, Paraguay, Lithuania, Jamaica, Latvia, Portugal
Group 4: Trinidad & Tobago, Puerto Rico, Sweden, Singapore, Uganda, Scotland

For Talent
Paraguay, Iceland, Latvia, Malta, US Virgin Islands, Lithuania, Barbados, South Africa, Guatemala, Cayman Islands, Venezuela, Canada, Ukraine, Puerto Rico, Kazakhstan, Chile, St Barthelemy, China PR, Czech Republic and Indonesia.


            TANGAZO
MREMBO JESCA ANAKULETEA MAPINDUZI HAYA KWA KUANZIA HUDUMA INAYOENDA KWA JINA LA MOBILE HEAVY SERVICES. KWAMBA HUTAKIWI KUHANGAIKA KWANI MTOA HUDUMA ATAKUFUATA MAHALI ULIPO NA ATAKUPATIA HUDUMA  NZURI AMBAZO HUJAWAHI KUZIPATA KABLA.
HUDUMA ANAZOTOA NI:
1. MASSAGE
2. PEDECURE
3. MANECURE
4. FACE SCRUB
5. BODY SCRUB
6. WAX
7. KUSAFISHA MIKONO/KUCHA

MREMBO JESCA ANATOA HUDUMA ZA UKWELI NA ANAIJUA KAZI YAKE.
PIA MWANADADA JESCA ANATOA MAFUNZO KWA AKINA DADA  KWA GHARAMA NAFUU KABISA.

KWA MAWASILIANO WAWEZA KUWASILIANA NAYE KUPITIA WAJANJA BLOG.... wajanja.dar1@gmail.com or 0715 199869

No comments:

Post a Comment