Pages

Pages

Wednesday, October 26, 2011

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI AUSTRALIA

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa watanzania waishio Australia Asimwe Kabunga katika mkutano unaowajumuisha watanzania waishio Australia okt,26-2011. Rais Jakaya Kikwete pamoja wanajumuia ya watanzania wanaoishi Australia wamezungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo.
Picha ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete baada ya kuamlizika mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanajumuia.


DRAKE NA NICOLE SCHERZINGER WAFUMWA BENETI
Drake and Nicole Scherzinger were both spotted at popular West Hollywood restaurant Cecconi last night and both were doing their best to dodge the waiting paparazzi.
Nicole is now a sexy single lady, having recently split with her boyfriend of 4 years, Formula One driver Lewis Hamilton.


 MIAKA 50 YA WIZARA YA FEDHA
Kikundi cha Ngurumo Culture group cha mjini Bagamoyo kikitumbuiza katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa upande wa Wizara ya Fedha jana katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Kikundi cha Makirikiri (DIKAKAPA)kutoka Botswana kikitumbuiza katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa upande wa Wizara ya Fedha jana katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.(bukuku

No comments:

Post a Comment