Pages

Pages

Wednesday, November 23, 2011

AJALI MBAYA YATOKEA UBUNGO RIVER SIDE LEO

Katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana.
Wakijaribu kunasua mwili wa wahanga hao wa ajali na miili ya waliokufa katika ajalia hiyo. Kama inavyoonekana hali ilikuwa ni mbaya sana watu wakiagalia kilichotokea bila kuaminai lakini ndiyo hivyo tena.
Watu wakiangalia tukio hilo leo mchana maeneo ya Ubungo River Side jijini Dar es salaam.



Msanii wa kizazi kipya GTK ambae anaratibu shindano la Malkia wa michano amesema leo jijini Dar kuwa shindano litakuwa la aina yake kwani maandalizi yote yametimia na washiriki wapo katika hali ya ushindani.
Siku ya jumamosi katika uwanja wa Mmoto utawashwa na wasanii wakubwa na wasanii wanaowania taji hilo siku ya jumamosi hii.

No comments:

Post a Comment