Pages

Pages

Thursday, November 3, 2011

JACKLINE ROBERT MLIMBWENDE MWENYE AZIMA YA KUMFIKIA FLAVIAN MATATA

 
 
 J
  Jackline Robert ni mlimbwende mwenye ndoto zakuwa mwanamitindo wa kimataifa ana umri wa miaka 20 anachukua diploma ya Human Resource Management pia anapenda kusikiliza muziki na kusoma vitabu.
  Kati ya vitu anavyopenda ni kubembelezwa na hapendelei majungu,chakula apendacho ni ndizi nyama pengine ni kwa sababu anatokea bukoba.
   Mwanamitindo chipukizi huyu mwenye asili ya kihaya  anasema yuko single bhanaa...na rangi aipendayo ni pinki na zambarau,makazi yake ni kijitonyama jijini Dar na matarajio yake ya baadae ni kuwa mwanamiyindo wa kimataifa.

No comments:

Post a Comment